CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

Mfano hili suala la akina Mzee Mdee, wanaendelea kuingia bungeni kwa kutumia jina la CHADEMA na kukichafua chama, ni usaliti na dharau za mchana kweupe! Lakini viongozi Wa CHADEMA wapo kimyaa, Wao busy kupambana na mtu aliyekufa. Sometimes mtu unajiuliza Hawa wapinzani tz wapo serious kweli?
Kwani we ulitaka wafanyeje
 
Chama kilifikia pabaya Sana aisee kilikuwa ni mali binafsi ya mwanakwenda zake alimpa amtake akatupora haki ya kuwachagua tuwatakao.Akaweka machaguo yake Ili waje kumsaidia kubadili katiba atawale milele lkn mipango ya mwanadamu sio mipango ya Mungu.
 
Wapinzai hata siku moja hawawezi kucopy style za CCM katika kujijenga kwa sababu kwanza wanaamini CCM ilishaishiwa pumzi siku nyingi. Kilichoakia kuibeba CCM ni Tume ya uchaguzi na vyombo vya dola!

Hili hata CCM wenyewe waalijua na huwa wanalitamka waziwazi! Mfano JK aliwahi kuwapasha wanaccm kwamba hoja za kisiasa zijibiwe kwa hoja za kisiasa na sio kwa jeshi la polisi!

Nape Nnauye alipokumbana na yale madhila ya kutishiwa kwa bastola aliweka wazi kuwa aliikuta CCM iko shimoni hii manake ilikuwa taabani!

Mwendazake naye kuna waimba mapambio walikuwa wakimsifu kuwa ameifufua CCM, hivyo ni ushahidi tosha kuwa Hiki chma kilishakufa siku nyingi na hata kwenye chaguzi kama haki igesimama mahala pake kigeshaondoshwa madarakai tangu ule uchaguzi wa kwanza kabisa chini ya mfumo wa vyama vingi, ambapo mgombea wa NCCR-mageuzi, Augustine Mrema aliichachafya CCM vilivyo!

Kuhusu suala la akina Mdee tusuiri muda utaamua, lakini ukweli ni kwamba wamo bugei kwa mgongo wa spika na sio CHADEMA wala katiba!
 
Haya ndiyo mambo ambayo mleta mada kazungumza, nyinyi watu wepesi sana kuwanyooshea vidole wengine, mkiguswa nyie na majibu ya kejeli na vitu kama hivyo. Wewe hujui viongozi wako inabidi wafanye nini kuhusu hili jambo?
Nina imani kubwa na uongozi wangu na wako sahihi kwa maamuzi yoyote wanaochukua na kusema kweli sina mashaka nao
 
Chama kilifikia pabaya Sana aisee kilikuwa ni mali binafsi ya mwanakwenda zake alimpa amtake akatupora haki ya kuwachagua tuwatakao.Akaweka machaguo yake Ili waje kumsaidia kubadili katiba atawale milele lkn mipango ya mwanadamu sio mipango ya Mungu.
Walijisahau na kulewa sifa za wachumia tumbo kina kessy na Mwanry kwa kumuita mtume
 
Upinzani upo bungeni, sisiemu wako wenyewe ila wanaparuana sawa na ndio inavyotakiwa.
huku nje acha wapinzani waendele kujaribu bila mafanikio kuua legacy ya JEMBE hayati JPM....
 
Walijisahau na kulewa sifa za wachumia tumbo kina kessy na Mwanry kwa kumuita mtume
Unajisikiaje sisiemu hiyo hiyo bungeni wanafanya jukumu la wapinzani bungeni alafu nyie mko mtaani mnampigia vigeregere kigogo?
 
Mipasuko mikubwa CCM.

1. Team SASHA VS Team Mwendazake a.k.a Sukuma Gang
2. Darasa la Saba vs Wasomi.
Sema "kimeumanaaaaa"
SHASHA akishika kijiti kama mwenyekiti wa chama ni lazima afyeke hizi mbegu za hayati na bahati mbaya sijui nani alimshauri akaingiza ile sumu kali ndani Bashiru yule alikuwa kupigwa chini tu maana mzee alishaweka polepole jasusi wake ndani yeye kenda kuongeza kichwa kile. Hivi wabunge wa kuteuliwa huwezi kuwatengua tena. Mama pitisha fagio badili waziri mkuu
 
Upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom