Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
- Thread starter
- #101
Ahaaaa, bungeni kuna kitu kinaitwa party caucas, hapa ndipo ajenda muhimu zinazotakiwa kujadiliwa huwa zinapangwa. Kwa hiyo kujadili masuala ya kitaifa huku wabunge wa Ccm wanaparurana na kurekebishana sioni kama ni kosa. Ila kwa sababu wewe ni juha huwezi kujua kuwa hata mijadala bungeni huenda kimkakati. Punguza ujuha wako tumia akili.Sijui hata kama unajua unachoongea, mijadala ya bungeni ndio sehemu ya kuuimarishia ccm? Kwahiyo chama ili kujirekebisha inabidi kiende bungeni kikajiimarishie humo? Ni sawa na wachezaji wa Yanga wakazozanie kwenye timu ya taifa, kisha wawaambie simba unaona jinsi Yanga wanavyojirekibisha? Najua ww ni mjinga, ila sikujua kama ni mjinga hivi!