Sijui hata kama unajua unachoongea, mijadala ya bungeni ndio sehemu ya kuuimarishia ccm? Kwahiyo chama ili kujirekebisha inabidi kiende bungeni kikajiimarishie humo? Ni sawa na wachezaji wa Yanga wakazozanie kwenye timu ya taifa, kisha wawaambie simba unaona jinsi Yanga wanavyojirekibisha? Najua ww ni mjinga, ila sikujua kama ni mjinga hivi!