Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani wanavyozidi kuja juu na kupata ummarufu ila nyie hamelewi ipo siku kwa mnachoifanyia wanachi watachoka na uonevu wenu na watu wataingia barabara na kuwafurusha si mmeona ya Bangladesh?
Wanaharakati wameanza kuuwa lini? Na je watu wameacha kufanya harakati? Mnajipotezea tu muda aisee kupambana na wapinzani na wanaharakati Tu ameuawa mwangosi, Azory, Ben, Mawanzo na wengine waliumizwa kama lamwai, mapalala, Maalim Seif, Sheikh Juma, Sheikh Ponda, Mchungaji Mtikila je wapinzani wameisha? CCM mnajichimbia kaburi lenu wenyewe " action and reaction is equal and opposite direction"
Toto la kimakonde na mume wa binti mushi! Tajiri ajae' mbunge wa masasi 2030.