Ukweli ni kwamba ccm imekwisha
Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, democratic ni finyu, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi. Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game.
Naungana na CHADEMA hili ni shinikizo hata EU nao wanaona wanashindwa kutoa baadhi ya misaada, udhani kwanini maza alianzisha yale maridhiano fake?Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.
Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!
Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.
Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.
Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.
Kabisa ni hatari watu wanauliwa kipumbavu snMapendekezo yetu yasipofanyiwa kazi hakuna haja ya kuingia kwenye uchaguzi ni kwenda kuibiwa tu na kupigwa juu.
Lissu siyo mjinga hii inasaidia EU na watoa misaada wengine kwenye budget wanashinikiza madai ya CHADEMA yasikilizweNi ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi. Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
Democrasia gani iliyokuwepo kabla ya rais magufuli mimi nakumbuka majimbo mengi waliyokuwa wanashinda upinzani mpaka mshindi anatangazwa mpaka fujo zitokee mabomu ya machozi sababu kubwa ni wabunge wa ccm wanatabia yakugoma kusaini kuwa wameshindwa nazani uliyaona yale ya mzee wasiraNi ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi. Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
Mapendekezo yetu yasipofanyiwa kazi hakuna haja ya kuingia kwenye uchaguzi ni kwenda kuibiwa tu na kupigwa juu.
Umeandika nini hivi unajua gharama za kampeni kwenye uchaguzi hafu mtu anakuja kutangazwa kapita bila kupingwa au kura kuibwa?Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi.
Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
Hakuna mtu atasusa uchaguzi time hii.Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.
Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!
Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.
Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.
Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.
Hakuna mtu atasusa uchaguzi time hii.
Ila lazima kwanza turudishe Sanduku la kura liliibwa mahala pake!!
Ni maandamano tu, hamna njia ingine.Tatizo ni namna ya kulirudisha sanduku lililoibwa - yataka mkakati haswa.
Ni vyema huo ukawa wazi.
Bila marekebisho ya Katiba ya 77 kwenda kwenye uchaguzi ni kupoteza muda au labda tufanye nae makubaliano ya serikali ya "nusu mkate"Kama ni kuuzuia kabisa uchaguzi usiwepo sawa. Ila kama ni kususa Kuna waliosusa kuliko Seif?
Mama na CCM watapumua kwa raha wakisikia wamesusiwa bucha ..
Ni maandamano tu, hamna njia ingine.
Mapendekezo yetu yasipofanyiwa kazi hakuna haja ya kuingia kwenye uchaguzi ni kwenda kuibiwa tu na kupigwa juu.
"Wenye vifua" pekee hapa nchini ni wananchi wenyewe, endapo kwa sababu zozote zile CHADEMA watashindwa kuwaangukia "wenye vifua" hawa wavitumie ipasavyo vifua vyao, lawama isiwaangukie wananchi hao.Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.
Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!
Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.
Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.
Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.