CCM wangependa CHADEMA wasusie chaguzi

CCM wangependa CHADEMA wasusie chaguzi

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.

Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!

Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.

Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.

Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.
 
Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi.

Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
 
Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, democratic ni finyu, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi. Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game.

Options za ushindi muhimu kutathminiwa. Uchaguzi haususwi ila unaweza kuzuiliwa usiwepo.
 
Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.

Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!

Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.

Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.

Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.
Naungana na CHADEMA hili ni shinikizo hata EU nao wanaona wanashindwa kutoa baadhi ya misaada, udhani kwanini maza alianzisha yale maridhiano fake?
 
Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi. Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
Lissu siyo mjinga hii inasaidia EU na watoa misaada wengine kwenye budget wanashinikiza madai ya CHADEMA yasikilizwe
 
Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi. Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
Democrasia gani iliyokuwepo kabla ya rais magufuli mimi nakumbuka majimbo mengi waliyokuwa wanashinda upinzani mpaka mshindi anatangazwa mpaka fujo zitokee mabomu ya machozi sababu kubwa ni wabunge wa ccm wanatabia yakugoma kusaini kuwa wameshindwa nazani uliyaona yale ya mzee wasira
 
Mapendekezo yetu yasipofanyiwa kazi hakuna haja ya kuingia kwenye uchaguzi ni kwenda kuibiwa tu na kupigwa juu.

Kama ni kuuzuia kabisa uchaguzi usiwepo sawa. Ila kama ni kususa Kuna waliosusa kuliko Seif?

Mama na CCM watapumua kwa raha wakisikia wamesusiwa bucha ..
 
Ni ujinga sana kwa vidole viwili kugomea uchaguzi, maana mafisiem yanafurahi na kujikita zaidi. Before marehemu vijana kibao walisimama na kujenga hoja za msingi wakashinda majimbo, wanapaswa kupigania angalau turudi zama za kabla ya marehemu, demokrasia ni finyu tz, lakini maamuzi mgando sana kuwasusia kijani msosi.

Hawashtuki wale ndo kwanza wanakomba vizuri. Kwasasa ni mawazo potofu sana kuamini kutakuwa na katiba mpya anytime soon. Mechi ni hii hii, ingia uwanjani kacheze game, kama ni daluga ukipigwa piga, kila mmoja akizidiwa mtacompromise mbele ya safari maana kila mtu anaumia. This was the way to go 2015 and before.
Umeandika nini hivi unajua gharama za kampeni kwenye uchaguzi hafu mtu anakuja kutangazwa kapita bila kupingwa au kura kuibwa?

2020 ujaona kilichotokea mpka kofosi covid 19 waende bungeni.
 
Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.

Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!

Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.

Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.

Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.
Hakuna mtu atasusa uchaguzi time hii.

Ila lazima kwanza turudishe Sanduku la kura liliibwa mahala pake!!
 
Tatizo ni namna ya kulirudisha sanduku lililoibwa - yataka mkakati haswa.

Ni vyema huo ukawa wazi.
 
Kama ni kuuzuia kabisa uchaguzi usiwepo sawa. Ila kama ni kususa Kuna waliosusa kuliko Seif?

Mama na CCM watapumua kwa raha wakisikia wamesusiwa bucha ..
Bila marekebisho ya Katiba ya 77 kwenda kwenye uchaguzi ni kupoteza muda au labda tufanye nae makubaliano ya serikali ya "nusu mkate"
 
Mapendekezo yetu yasipofanyiwa kazi hakuna haja ya kuingia kwenye uchaguzi ni kwenda kuibiwa tu na kupigwa juu.

Nikuwaandaa wananchi pia kuwa aggressive, kuna vijana kibao wamepitia mgambo, jkt na haya makundi ya machinga na boda boda.

Waelimishwe vizuri kuwa sio kwa ajili ya kuleta vurugu ila kuhakikisha haki zinafanyika. Presha ikiwa kubwa nadhani itasaidia kila mtu kutenda iliyo haki.

Otherwise wale wote wataonyima haki kwa wazi wajue kabisa watawajibika kutokuwepo nchini ama kukaa makambini [emoji23].
 
Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.

Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!

Kujipanga kwa ushindi katika hali yoyote nako hakuwezi kuwa impossible.

Hata hivyo itataka kusugua vichwa kweli kweli.

Ikumbukwe wenye vifua vyao wanayo kila sababu ya kufanya yao.
"Wenye vifua" pekee hapa nchini ni wananchi wenyewe, endapo kwa sababu zozote zile CHADEMA watashindwa kuwaangukia "wenye vifua" hawa wavitumie ipasavyo vifua vyao, lawama isiwaangukie wananchi hao.

Kazi ngumu inayowakabili CHADEMA ni kuwaeleza ukweli huo wananchi wenyewe, na kusimamia vyema shughuli zote za kuhakikisha kwamba 'vifua feki' vilivyozoea kutumiwa na CCM kufanya uchafu wao havina nafasi tena katika Tanzania yenye wananchi wanaojua kutumia "vifua" vyao kwa maslahi yao.
 
Back
Top Bottom