Cute Wife
Platinum Member
- Nov 17, 2023
- 3,054
- 8,449
Eti Wakuu?
Mtu ndugu zake wameuliwa Oktoba 29, leo anakwambia mama anaupigwa mwingi, ni mwana demokrasia na mdiplomasia wa kweli!😂🤣
Maisha yanamchapa kweli kweli anaishia kutegemea afsaba saba za kuwa bot kwenys mtandao lakini anakwambia mama hana deni! Aaah huu uzwazwa unahitaji kufanyiwa PhD bana!
Niwapongeze CCM kwakweli, kwenye kutengeneza "misukule" wapo vizuri bwana! Mtu anapigwa shavu la kushoto anageza na la pili alabuliwe. Anakatwa mguu mmoja anatoa na mwingine kama sadaka!
Vyama vingine inabidi vichukue somo hapo!