GE2025 CCM washughulikiana wenyewe kwa wenyewe kwenye kampeni. Ama kweli washughulikiwe!

GE2025 CCM washughulikiana wenyewe kwa wenyewe kwenye kampeni. Ama kweli washughulikiwe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
34,775
Reaction score
46,063
Clip inajieleza wazi:

Video hii inaonyesha baadhi ya wanaCCM walifika kwenye moja ya mkutano wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho ambaye ni Samia Suluhu Hassan, wakiwa wanafutana kana kwamba walikuwa wagigombania kitu fulani hapo.

Hali hiyo ilimfanya rais Samia kutoa maagizo hapo hapo askari polisi wawashughulikie watu hao wanaoleta fujo.

Je ishu za posho zilikuwa hazijawekwa sawa au wamechoka tu na chama chao?



Hao nao, wamefikiwa!
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Ma kina Lukasi, Hoihoi2, Stuxinet, imhotop, na yale mala ubwabwa, baada ya uroda wa kwenye malori mama ameyafikia. 😀
Usiwe kama Pimbi mikwara mingi lakini ikifika 29 unajificha kwenye shimo lako.😆
shutterstock_61229197-1024x682.jpg
 
"Askari kuna vijana wakorofi pale katikati wanasukuma wenzao washughulikiwe" ....
Hii ni moja ya amri zisizo halali zisizotekelezeka. 😳
 
Anaweza kua ameongea hivyo kimkakati kufikisha ujumbe fulani, maana haiingiii akilini kwamba hao walio kuwa wanaleta vurugu ni maadui wa ccm.

Lakini la kujiuliza hakuwa na lugha nyingine ya kuwaelekeaa walinzi ama askari kutuliza hizo vurugu?
Na labda ingekuwa ni mkutano wa mgombea wa chama kingine angeweza kweli kutoa amri ya nmna hio?

Na la kujiuliza zaidi kama anatoa amri kauli ya namna hio hadharani vipi ambazo hatusikii! Hatoi maelekezo tata kweli kwa maaskari dhidi ya wapinzani na maadui zake?
 
Kwa kweli hiyo kauli haikuwa nzuri, maana polisi wehu wangeweza kuwashughulikia hao vijana kwa kuwasweka karandingani na kwenda kutesa vijana kwa amri ile ya amrijeshi mkuu. Alipaswa kusema askari tulizeni hapo wanasukumana kuliko kusema washughulikiwe!
 
Back
Top Bottom