GE2025 CCM washughulikiana wenyewe kwa wenyewe kwenye kampeni. Ama kweli washughulikiwe!

GE2025 CCM washughulikiana wenyewe kwa wenyewe kwenye kampeni. Ama kweli washughulikiwe!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawa akina Polepole ndio waliotufikisha hapa kwenye huu utawala wa mkono chuma

Madhara ya kutoijua agenda ya mapigano, ndiyo maana mwamba na wenzake wanajilia ubwabwa shaumwa huko!
 
Hiyo mitano itakuwa migumu sana sioni akimaliza.
Atamaliza kwa amani na mafanikio makubwa! By nature dunia Ina maumbile ya kike so wanaume tuliletwa for production tu! Sehemu kubwa walikotawala wanawake kumekua na mafanikio sana kulinganisha na wanaume! Huyu mama atafanya zaidi ya wote na analeta katiba mpya!
 
Madhara ya kutoijua agenda ya mapigano, ndiyo maana mwamba na wenzake wanajilia ubwaubwa shaumwa huko!
Hapana CHADEMA tusifanywe chama cha matukio,kumbuka mengine yanatengenezwa na system halafu sisi tunajaa kwenye nyavu kama Pimbi
 
Hapana CHADEMA tusifanywe chama cha matukio,kumbuka mengine yanatengenezwa na system halafu sisi tunajaa kwenye nyavu kama Pimbi
Ile movie ya Mbowe na Lissu CDM iliuzwa peupe sana! NRNE ilitoka CCM ikasukwa CDM kwa ufundi mkubwa sana!
 
Ile movie ya Mbowe na Lissu CDM iliuzwa peupe sana! NRNE ilitoka CCM ikasukwa CDM kwa ufundi mkubwa sana!
CHADEMA leo sio chama cha kupelekeshwa na Mange Kimambi Mange anaweza pia kutumiwa na system ikawa ngoma wanapiga wao sisi tunacheza kwa juhudi.
 
Daa inasikitisha sana, tuwe makini jamani, elf 10 unataka kukutia roho na kukuacha na mangeu .

Pokea PESA yake lakini kataa kufanya anacho kuambia ,coz hawezi kukudai wala kukushitaki
 
CHADEMA leo sio chama cha kupelekeshwa na Mange Kimambi
Tangu 2021 hofu kuu ya Samia ilikua ni CDM 2025! Hofu kuu ilikua ni Lissu kwenye sanduku la kura! Bahati mbaya sana Lissu na wanaharakati wake wakamezwa Mazima! Leo agenda za CDM ni Mange na Pole pole 😆
 
Kama haya maandamano yangekuwa organised na CHADEMA tungetarajia kuwa yangekuwa ya AMANI, lakini kuwaachia akina Mange wanaohubiri machafuko matusi ya nguoni kuchoma nyumba za watu nk. Halafu ati na sisi tuyaunge mkono naona haiko sawa. Mimi nitakaa zangu nyumbani labda Heche aweke msimamo wa chama
 
CDM ingeshiriki huu uchaguzi pangechimbika sana! Kama 2020 Magufuli alilala na viatu huyu Bibi angekimbilia Oman! Ndo hivyo tena utoto umeitawala CDM sahv hata haieleweki ajenda ni nini naona wanaongozwa na akina Mange na Maria Sarungi! Chama kikubwa Kama CDM Leo kipo instagram na twitter 😄😄😄😄😄
 
Kama haya maandamano yangekuwa organised na CHADEMA tungetarajia kuwa yangekuwa ya AMANI, lakini kuwaachia akina Mange wanaohubiri machafuko matusi ya nguoni kuchoma nyumba za watu nk. Halafu ati na sisi tuyaunge mkono naona haiko sawa. Mimi nitakaa zangu nyumbani labda Heche aweke msimamo wa chama

Kwani ubwabwa mshashiba?
 
Hata Uyovu walisukumana ila hapo akasema vijana naomba msisukumane, akaja kuuliza hivi ni nani anaesukuma, Sasa napo angetoa amri washulikiwe mizuka ya polisi ingepanda kuumiza vijana hao tena!
 
Hebu ccm kuweni wastaarabu, nyomi mnajaza wenyewe ili tu muonekane mnapendwa na wananchi mpaka wanajaa pomoni alafu wakisukumana washughulikiwe! Si mtaumiza watu wenu bure? Sasa ya nini kwenda kwenye mikutano ya hatari namna hiyo?
 
Una utoto mwingi mno kuzielewa Siasa za Nchi hii!! Endelea kumlilia pole pole na kusoma post za Da mange😀

IMG_20251012_151120.jpg
 
Back
Top Bottom