chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,500
Umesikia hiyo kauli mbele ya camera na ni watu wakiwa wanasukumana yeye akiona toka jukwaani tena kwa mbali , je wanaomkosoa live anavyokuwa anapitia video zao anajisikiaje?Reflect it in all the abductees and Oct 29. Halafu makina imhotep yanakaneua huku yakipepea avatar, picha za kina Lissu.
Matrix19, binti kiziwi na wale makamanda wa ukweli au nasema uongo?
Sio jambo la kusherehekea.Wameanza kushughlikiana wao kwa wao.
Bia huwa nakunywa tu hata kama hakuna shereheSio jambo la kusherehekea.
Bia huwa nakunywa tu hata kama hakuna sherehe
Huyu imhotep alikuwa mtu wa misimamo imara kwenye kupigania haki.Reflect it in all the abductees and Oct 29. Halafu makina imhotep yanakaneua huku yakipepea avatar, picha za kina Lissu.
Matrix19, binti kiziwi na wale makamanda wa ukweli au nasema uongo?
CCM wakishughulikiana shika jembe ukalime sitetei waovu mimi.Reflect it in all the abductees and Oct 29. Halafu makina imhotep yanakaneua huku yakipepea avatar, picha za kina Lissu.
Matrix19, binti kiziwi na wale makamanda wa ukweli au nasema uongo?
Ni asili ya wanawake! Mwanamke mmoja mwenye silaha ni sawa na wanaume 7! Wanawake ni viongozi wazuri but wako so aggressive in nature!Umesikia hiyo kauli mbele ya camera na ni watu wakiwa wanasukumana yeye akiona toka jukwaani tena kwa mbali , je wanaomkosoa live anavyokuwa anapitia video zao anajisikiaje?
Je order ngapi huyu mwanamke kazitoa nje ya camera?
Nakupa mifano miwili tu ujue tabia zake kuu na moja niliyoigundua ni ana kisasi kikali.
Baada ya Professor Philemon Sarungi kufariki kwa nyadhifa alizowahi kushika mazishi yake yalitakiwa yaongozwe na rais ila Samia hakutoa pole kokote katika taarifa rasmi na wala hakuhudhuria mazishi.
Namba 2 , katika katakata ya wagombea kwenye huu uchaguzi sote tulishuhudia kisasi cha wazi kwa Ummy licha ya kutumbuliwa uwaziri kwa sababu ambazo hazikuwahi kutajwa pia alikatwa jina lake licha ya kuwa aliongoza kura za maoni na juu kwa juu akapewa shinkizo la kuita press conference akionyesha yuko sawa na karidhika na maamuzi ila kiuhalisia unaona kabisa body language inamsaliti na press ilikuwa chini ya shinkizo.
Sasa kama huyu mtu akishindwa kutolewa na akaendelee miaka 5 mbele basi hata Jiwe watu watakuja kusema ni afadhali kiufupi naliona giza kubwa ndani na Tangayika iliyogawanyika vipande vipande.
Sababu tulianza kuona wanaotekwa ni CHADEMA sasa na wanalumumba nao wanaonja joto ya jiwe.
Hiyo mitano itakuwa migumu sana sioni akimaliza.Ni asili ya wanawake! Mwanamke mmoja mwenye silaha ni sawa na wanaume 7! Wanawake ni viongozi wazuri but wako so aggressive in nature!
Ukiongeza na ulevi na panic mode ya mama ndo balaa!
But apewe 5 tena
Hili ni agizo la waziwazi mangapi ya sirini?!Clip inajieleza wazi:
Video hii inaonyesha baadhi ya wanaCCM walifika kwenye moja ya mkutano wa kampeni za mgombea urais wa chama hicho ambaye ni Samia Suluhu Hassan, wakiwa wanafutana kana kwamba walikuwa wagigombania kitu fulani hapo.
Hali hiyo ilimfanya rais Samia kutoa maagizo hapo hapo askari polisi wawashughulikie watu hao wanaoleta fujo.
Je ishu za posho zilikuwa hazijawekwa sawa au wamechoka tu na chama chao?
View attachment 3487426
Hao nao, wamefikiwa!