ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana wanaopenda mabadiliko.
Sasa Kwa jinsi vijana hawa walivyo na kiu ya mabadiliko , wengi wao wameegemea upande wa Tundu Lissu.
Wazee ambao wengi ni tegemezi la CCM kubaki madarakani sasa ni wachache sana, hivyo urais ujao utakuwa ni urais unaoamuliwa na vijana.
CCM imejitangaza sana na inatumia nguvu na pesa nyingi kubaki madarakani.
Matajiri wengi wanataka CCM iendelee kubaki madarakani lakini sasa ni wakati wa upinzani kushika nchi.