ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Huu ni wakati wa tundu,Kuchukua nchi ni zaidi ya kura mkuu!
Je zama na nyakati zinasapoti yeye kuchukua!!?
Hata jk alishinda mchakato ndani ya chama 1995 lakini mwingine akapewa utia nia!
Nchi gani?Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana wanaopenda mabadiliko.
Sasa Kwa jinsi vijana hawa walivyo na kiu ya mabadiliko , wengi wao wameegemea upande wa Tundu Lissu.
Wazee ambao wengi ni tegemezi la CCM kubaki madarakani sasa ni wachache sana, hivyo urais ujao utakuwa ni urais unaoamuliwa na vijana.
CCM imejitangaza sana na inatumia nguvu na pesa nyingi kubaki madarakani.
Matajiri wengi wanataka CCM iendelee kubaki madarakani lakini sasa ni wakati wa upinzani kushika nchi.
CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.Kwanza nianze Kusema by 2025 zaidi ya watu milioni 10(watanganyika) na watu laki mbili wazanzibar kulinganisha na 2020 watakuwa wamefikisha Umri wa angalau miaka 18, na Hawa wengi ni vijana wanaopenda mabadiliko.
Sasa Kwa jinsi vijana hawa walivyo na kiu ya mabadiliko , wengi wao wameegemea upande wa Tundu Lissu.
Wazee ambao wengi ni tegemezi la CCM kubaki madarakani sasa ni wachache sana, hivyo urais ujao utakuwa ni urais unaoamuliwa na vijana.
CCM imejitangaza sana na inatumia nguvu na pesa nyingi kubaki madarakani.
Matajiri wengi wanataka CCM iendelee kubaki madarakani lakini sasa ni wakati wa upinzani kushika nchi.
Nani anakudanganya?CCM kuendelea kubaki madarakani haitegemei kupigiwa Kura na mtu yoyote yule ktk Uchaguzi wa Siasa hapa Tanzania.
"Wakati tulipokubali mfumo wa vyama vingi hapa nchini, CCM tulihakikisha kwamba hatushindwi."
Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Pili wa Tanzania.
NB: Fanya tafakuri ya kina ya neno 'hatushindwi.'
"CCM ina maarifa mengi kwa hiyo wanachama wenzangu msiwe na wasiwasi kwamba tutashindwa kwenye Uchaguzi wa mwaka huu, sisi viongozi wenu tupo."
Jakaya Kikwete, Rais wa Nne wa Tanzania.
CCM ina mizizi imara sana....CCM imeshika kila idara.Hii mbona iko wazi? CCM zama zake zinapita, kina ANC na wenzake wamekula za uso. CCM imeambiwa ijiandae kisaikolojia ila inajitia kiburi kuwa haiwezi kulinganishwa na vyama vikongwe vilivyokula za uso na vingine vimepotea na havitainuka tena
ni kweli CCM ni dude kubwa lenye mapandikizi yake ndani ya vyama vya upinzani, kuliangusha ni shughuli pevu, ila linaanguka kirahisi tu kama Goliathi alivyodondoshwa kirahisi na DaudiCCM ina mizizi imara sana....CCM imeshika kila idara.
Ogopa sana CCM, ni lidude likubwa sana....ni ngumu kuliangusha chini.
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa makaratasi ya kura, CCM haiwezi kutoka madarakani kwa mapinduzi ya kijeshi ( Wanajeshi wote ni CCM).
Raia ndiyo wataitoa CCM kutoka madarakni, kwa njia damu tu. Lazima tuingie barabarani, tuoneshe hasira zetu, tuwapige viongozi wote wa CCM hadi na tuwafukuze maofisini, ila tutakufa wengi sana kwa rasasi.
Je...? Upo tayari kufa.
Ukweli ni kwamba haupo tayari kufa...
So...Sahau CCM kuondoka madarakani.
CCM siyo ANC....ANC ni wanafunzi wa CCM.
Tanganyika, lissu ataifufuatanganyikaNchi gani?