Pre GE2025 CCM wasipoiba kura, Tundu Lissu atachukua nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukweli ni kwamba ccm inaning'inia kwenye uzi mwembamba mno, ipoipo tu, ni suala la muda nayo itatoweka. Bora itoweke kwa heshima ihifadhiwe makumbusho ya taifa maana haitaweza kuhimili upepo mkali wa mabadiliko ya kisiasa unaovuma barani afrika na kwingineko kwa vyama vikongwe
 
Labda Nchi ya Mashoga wenzake.

Inawezekana wewe utoto unakusumbua,kamuulize Lowassa.

Mwisho huko kwenye Nchi ni mbali , Serikali za Mitaa zinakuia utaona matokeo
 
CCM hawajawahi kushinda uchaguzi wowote nchi hii tangu kuasisiwa kwa vyama vingi nchini 1992.
Chaguzi zote tangia 1995 hadi 2020 huwa wanapigwa ila ni vibaka balaa.
 
Itoshe tu kusema Mwenyezi Mungu Amsaidie kura yangu anayo
 
Huyu Lissu ambaye kakosa watu wa kumchangia hela ya V8? Ataendelea kuwa Rais wa mioyo ya nyumbu.
 
Spidi ya Lissu inaongezeka siku hadi siku. Huyu Jamaa ni hatari sana.
 
Migo..d
 
Sasa kama ccm haishindwi kwenye sanduku la kura ya nini kutumia mamilioni ya fedha kufanya uchaguzi mkuu? Kwanza ni kuhangaisha wapiga kura, wananchi wana kazi za kufanya kwa nini wapoteze muda kupiga kura zisizo na matokeo mazuri kwao?
 
🤣🤣🤣
 
Umeangalia angle moja tu na hitimisho lako limeluwa la jumla mno ambayo sio sawa.
 
Ukweli usemwe tu...
Tundu atakuwa kama E.D Luwasa...Tundu atakuwa kama Dr weapon...Tundu atakuwa kama Mbowe.

Tundu hatokuja kuwa Raisi wa J.M.T...
Kama ni kujinyonga anza mapemaa kuchukua mazoezi, kuna tajiri achana na wewe kapuku, alisema Magufuri hatokanyaga ikulu labda kusalimia, Magu akaingia akaishia kunywa maji kwenye karai hata aliyekuwa tajiri wa mkoa wa Morogoro aliwahi sema msoga haiwezi toa rais mwisho ikawa tofauti ila kwakuwa wewe ni BWABWA huna hasara zaidi ya kukosa marinda.
Ndundu Lissu anachukua nchi 2025
 
Aisee...Matusi ya nini sasa...au ndiyo urithi kutoka kwa wazazi wako..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…