CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo "kutahiri watu bila ganzi"

CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo "kutahiri watu bila ganzi"

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
CCM wataka Polisi kukanusha kuhusu kushirikiana na Sheikh Said Mwaipopo kutahili watu bila ganzi.

MY TAKE

Polisi inazuga kutafuta vikundi vya kihalifu wakati vinajulikana na vinajitangaza kwenye TV. Sasa ni Rasmi kwamba kikundi cha kigaidi cha Sheikh Mwaipopo ndicho Tume ya Mzee chande alisema kinafanyia mazoezi ya kihalifu hatua mbili kutoka kituo cha Polisi.
 
Madai kama haya yanapaswa kujibiwa kwa uwazi na ushahidi usio na chembe ya mashaka.

Wananchi wa tanzania wana haki ya kupata taarifa sahihi, na mamlaka zina wajibu wa kuchunguza tuhuma zote kwa umakini na kuweka ukweli wazi mbele ya umma.
 
Hao watu wanahiriwa mara ya pili? Maana asilimia kubwa ya watu TZ wametahiriwa, ukiacha watoto
 
Siisikii sauti ya Misime wala Muliro hapa! Au nao ni sehemu ya watoa mafunzo kwa mbwamwitu?

Waache double standards zao na wawajibike kwa mujibu wa pgo zao.
 
Siisikii sauti ya Misime wala Muliro hapa! Au nao ni sehemu ya watoa mafunzo kwa mbwamwitu?
Waache double standards zao na wawajibike kwa mujibu wa pgo zao.
 
GENGE LA CCM LILIVYO LITAMKATAA HUYU KWENYE VIDEO
Kwani huyo ccm ana cheo gani! Tutofautishe chawa na ccm. Mimi naamini hata huko ccm wapo wengi wasiokubaliana na huu upuuzi.

Nchi ikikombolewa huyu mpuuzi atasimama kizimbani bila utetezi wa kutumwa na ccm.
 
Back
Top Bottom