Mnapewa ujumbe wa kukatwa dudu zenu, si kutahiriwa.Hao watu wanahiriwa mara ya pili? Maana asilimia kubwa ya watu TZ wametahiriwa, ukiacha watoto
Mnapewa ujumbe wa kukatwa dudu zenu, si kutahiriwa.Hao watu wanahiriwa mara ya pili? Maana asilimia kubwa ya watu TZ wametahiriwa, ukiacha watoto
Huu ni wakati muhimu wa CCM kuvua gamba kubwa kuliko lile lililotajwa huko nyuma.Kwani huyo ccm ana cheo gani! Tutofautishe chawa na ccm. Mimi naamini hata huko ccm wapo wengi wasiokubaliana na huu upuuzi.
Nchi ikikombolewa huyu mpuuzi atasimama kizimbani bila utetezi wa kutumwa na ccm.
Hili jambo linastaajabisha kweli.Samuya anatetewa na watu wajinga sana, ama kweli ndege wafananao...
IntarahamweKuna ukweli mkubwa sana...Mwaipopo anafanya kazi za usalama kama nani? Kikundi chao kinaitwaje?