figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Mchumia tumbo tu yuleKuna ukweli mkubwa sana...Mwaipopo anafanya kazi za usalama kama nani? Kikundi chao kinaitwaje?
Kilikuwa kinaitwa panya road. Sasa hivi kinaitwa Mbwa mwitu.Kuna ukweli mkubwa sana...Mwaipopo anafanya kazi za usalama kama nani? Kikundi chao kinaitwaje?
Waislam wanahisi Wakristo wanawaogopa. Wakiona rais ni Muislam ndo wanakunjua makucha yao na kuweka wazi tabia zaoHaya mambo yatakuja kuleta mambo kama Nigeria
wanawachukulia poa sana, wanaona hawajui kupiga mkono!Waislam wanahisi Wakristo wanawaogopa. Wakiona rais ni Muislam ndo wanakunjua makucha yao na kuweka wazi tabia zao
Moja ya tatizo la watanzania ni kuchukulia vitu vya msingi na vizito kirahisi rahisiMchumia tumbo tu yule
Ova
Kwani huyo ccm ana cheo gani! Tutofautishe chawa na ccm. Mimi naamini hata huko ccm wapo wengi wasiokubaliana na huu upuuzi.GENGE LA CCM LILIVYO LITAMKATAA HUYU KWENYE VIDEO