G Gagnija Platinum Member Joined Apr 28, 2006 Posts 13,773 Reaction score 14,641 Jun 22, 2026 #21 Mvinyo mpya said: Hao watu wanahiriwa mara ya pili? Maana asilimia kubwa ya watu TZ wametahiriwa, ukiacha watoto Click to expand... Mnapewa ujumbe wa kukatwa dudu zenu, si kutahiriwa.
Mvinyo mpya said: Hao watu wanahiriwa mara ya pili? Maana asilimia kubwa ya watu TZ wametahiriwa, ukiacha watoto Click to expand... Mnapewa ujumbe wa kukatwa dudu zenu, si kutahiriwa.
L lebabu11 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2010 Posts 3,999 Reaction score 3,983 Jun 22, 2026 #22 Gagnija said: Kwani huyo ccm ana cheo gani! Tutofautishe chawa na ccm. Mimi naamini hata huko ccm wapo wengi wasiokubaliana na huu upuuzi. Nchi ikikombolewa huyu mpuuzi atasimama kizimbani bila utetezi wa kutumwa na ccm. Click to expand... Huu ni wakati muhimu wa CCM kuvua gamba kubwa kuliko lile lililotajwa huko nyuma. Ukifualilia kwa undani, ujinga, upuuzi, kujitoa ufahamu, wizi wa kura wa kijinga umekuwa sehemu ya maisha. Hali hii imeharibu chama chenyewe, serikali na hata jamii na taifa kwa ujumla. Hakuna anayesalimika. Kwa kuanzia CCM lazima ijivue gamba haraka kwenye uchaguzi ujao. Wachaguliwe watu wenye akili nzuri na uadilifu kuokoa Taifa. Viongozi wa chama na serikali, watumishi wa Uma, vyombo vya dola na hata dini zinaogelea kwenye tope la upuuzi huu.
Gagnija said: Kwani huyo ccm ana cheo gani! Tutofautishe chawa na ccm. Mimi naamini hata huko ccm wapo wengi wasiokubaliana na huu upuuzi. Nchi ikikombolewa huyu mpuuzi atasimama kizimbani bila utetezi wa kutumwa na ccm. Click to expand... Huu ni wakati muhimu wa CCM kuvua gamba kubwa kuliko lile lililotajwa huko nyuma. Ukifualilia kwa undani, ujinga, upuuzi, kujitoa ufahamu, wizi wa kura wa kijinga umekuwa sehemu ya maisha. Hali hii imeharibu chama chenyewe, serikali na hata jamii na taifa kwa ujumla. Hakuna anayesalimika. Kwa kuanzia CCM lazima ijivue gamba haraka kwenye uchaguzi ujao. Wachaguliwe watu wenye akili nzuri na uadilifu kuokoa Taifa. Viongozi wa chama na serikali, watumishi wa Uma, vyombo vya dola na hata dini zinaogelea kwenye tope la upuuzi huu.
residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,348 Reaction score 15,205 Jun 22, 2026 #23 akili mwili mzima said: Samuya anatetewa na watu wajinga sana, ama kweli ndege wafananao... Click to expand... Hili jambo linastaajabisha kweli. Kwa nini watetezi wake wote ni mazwazwa yaliyopindukia!!??
akili mwili mzima said: Samuya anatetewa na watu wajinga sana, ama kweli ndege wafananao... Click to expand... Hili jambo linastaajabisha kweli. Kwa nini watetezi wake wote ni mazwazwa yaliyopindukia!!??
Bramo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 13,253 Reaction score 10,248 Jun 22, 2026 #24 Tangawizi said: Kuna ukweli mkubwa sana...Mwaipopo anafanya kazi za usalama kama nani? Kikundi chao kinaitwaje? Click to expand... Intarahamwe
Tangawizi said: Kuna ukweli mkubwa sana...Mwaipopo anafanya kazi za usalama kama nani? Kikundi chao kinaitwaje? Click to expand... Intarahamwe