Nyankurungu2020 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2020 Posts 4,480 Reaction score 7,443 Dec 7, 2025 #1 Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
Yaani Comedian kama Baba Levo anaingia Bungeni kwenda kufanya maamuzi makubwa kwa ajili ya taifa letu! Zitto Kabwe pamoja na kujifanya mnafiki mwenye udini na anayejali tumbo lake wamekataa kumpa hat ubunge wa mchongo! This CCM hapana
Wagumu Tunadumu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2022 Posts 7,591 Reaction score 23,296 Dec 7, 2025 #2 Samia kapiga chini wengi sana,ila ni jasiri Mfano kama William Mganga Ngereja ni swahiba mkubwa wa Kikwete lakin mama hakumsaidia
Samia kapiga chini wengi sana,ila ni jasiri Mfano kama William Mganga Ngereja ni swahiba mkubwa wa Kikwete lakin mama hakumsaidia
Satan JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 2,201 Reaction score 3,652 Dec 7, 2025 #3 Kuna madaraka na sasampa.. I believe atakuwa anaramba asali. Kama isingekuwa hivyo angekuwa anatoa mlio. Wanasiasa wa Africa ukiendana na maslahi yao,wanakuwa kimya kama baunsa aliyeshikwa ugoni.
Kuna madaraka na sasampa.. I believe atakuwa anaramba asali. Kama isingekuwa hivyo angekuwa anatoa mlio. Wanasiasa wa Africa ukiendana na maslahi yao,wanakuwa kimya kama baunsa aliyeshikwa ugoni.
Kijukuu cha ngoyayi JF-Expert Member Joined Oct 27, 2018 Posts 3,358 Reaction score 6,667 Dec 7, 2025 #4 Chama kinawenyewe hizo ni kauli za wakuda
Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 16,583 Reaction score 42,992 Dec 7, 2025 #5 Malipo ya usaliti