CCM wawasifia Mbowe, Mrema kwa “upinzani mkali”

Mpinzani wako(hasa anayeshindana na upande wenu kwa hila na kwa kuwaua) anaposifia jichunguze unapokosea lakini pale anapokuwa anakusama na kuchukia mbinu na mipango yako basi endelea kukaza hivyohivyo.
Mbowe waliyemuweka ndani wakidai ni gaidi kichekesho mara tu baada ya kununulika na kusaliti mapambano amekuwa si gaidi tena bali mtu bora kabisa(kwa CCM).
 
Wanasifia viatu vyao ndani ya Upinzani.

Umeona wapi ibilisi kusifia mhubiri wa Neno la Mungu kuwa huyo ndo mhubiri mahiri na wengine feki?
 
Wakati huo CCM kilikuwa ni chama cha kisiasa kikipambana kwa kujibu hoja kinzani kutoka kwa wapinzani.

Siku hizi kimegeuka kuwa Chama Cha Mapolisi ambao hujibu hoja za wapinzani kwa marungu, utekaji, upotezaji wa wapinzani, utesajii na hata mauaji.

Huyu alikuwa ni RC wa Tabora, yaani mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa. Alikuwa mshiriki mkuu na muhimu wa maovu haya, anajizima data ili amfurahishe bosi wake. Another "ndezi" in town.
 
ukiona wamesifiwa na ccm ujue hawakuwa Wapinzani Bali ni TISS agent.
 
Hawakuwa upinzani, ni CCM tena ile cream ya juu.
 
Haya aliyoongea yanamsaidia nini Mwananchi wa Namanyere? CCM ilishaishiwa hoja.
 
Vile walilamba asali ya kijani
 
Gaidi kaenda kupiga picha na rais,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…