Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
AahaaaPamoja na yote, nimependa huo ubunifu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AahaaaPamoja na yote, nimependa huo ubunifu...
Iyo mitego ya kuuza mustakabali wako wa miaka mitano kwa sahani ya ubwabwa ndio ujinga wenyewe ninaouongelea. Point yangu ninkwamba hata CCM wakiamua uchaguzi uwe huru na wa haki, kutokana na ujinga na ushabiki wa wananchi bado CCM wanaweza kushinda haitakua rahisi kama wapinzani wanavyofikiriPamoja na ushuhuda wako hapa, nikukumbushe tu kwamba uchaguzi si zoezi la siku hiyo hiyo moja hapo kituoni ulipokuwa ukifanyia 'ukarani' wako. Ukieleza kwa uhakika kwamba hao watu ulio washuhudia hapo kituoni hawakupewa ubwabwa jana yake ili siku ufuatayo wakawapigie kura hao walio washibisha kwa mlo mmoja huo,, hapo sitakuwa na hoja yoyote dhidi ya ushuhuda wako.
Ni rahisi kuwalaumu waTanzania na kuwaita majina, lakini tunashindwa kujuwa mitego chungu nzima wanayowekewa na hawa watekaji wetu.
Naona inakuwa vigumu kwetu kuelewana katika jambo rahisi hivi:Iyo mitego ya kuuza mustakabali wako wa miaka mitano kwa sahani ya ubwabwa ndio ujinga wenyewe ninaouongelea. Point yangu ninkwamba hata CCM wakiamua uchaguzi uwe huru na wa haki, kutokana na ujinga na ushabiki wa wananchi bado CCM wanaweza kushinda haitakua rahisi kama wapinzani wanavyofikiri
Kwamba unamchagulia adui silaha vitani? Kama ujinga wa watu unawapelekea kuuza mustakabali wao kwa sahani ya ubwabwa, chumvi, kofia, kanga ,ahadi za uongo n.k basi huo ni uzembe wa wananchi wenyewe sio CCM.Naona inakuwa vigumu kwetu kuelewana katika jambo rahisi hivi:
Hawa "wajinga" waondolee hivyo vishawishi hivyo vya pembezoni ili wawe huru kuutumia "ujinga" wao wanavyotaka wao.
Hilo ndilo ninalo omba CCM wasijihusishe nalo.
Hili la kusema tu, hawa ni "wajinga"; halafu hapo hapo unakwenda kwao kuwashawishi halikidhi wao kuwa wajinga.
Mkuu, 'Natafuta' waambie tu CCM kwamba hawa watu tayari ni wajinga, waache watumie ujinga wao katika chaguzi hizi; kwani kwa kuwa tayari ni wajinga, CCM wataendelea tu kupata ushindi!
CCM NI JANGA LA TAIFA HILIKuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa.
Hebu angalia hiyo video hapo chini na uone kitu gani cha ajabu wasichokijua wao walichokuwa wanakishangaa!!
View attachment 3038489
Wanajifanya kuwa na uchungu wakati wao ndiyo chanzo.
Sure dada angu haiwezekani miaka nenda rudi kila uchaguzi ahadi ziwe zile zile tu.CCM NI JANGA LA TAIFA HILI
Karumanzila haoKuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa.
Hebu angalia hiyo video hapo chini na uone kitu gani cha ajabu wasichokijua wao walichokuwa wanakishangaa!!
View attachment 3038489
Wanajifanya kuwa na uchungu wakati wao ndiyo chanzo.
SAWA.Kwamba unamchagulia adui silaha vitani? Kama ujinga wa watu unawapelekea kuuza mustakabali wao kwa sahani ya ubwabwa, chumvi, kofia, kanga ,ahadi za uongo n.k basi huo ni uzembe wa wananchi wenyewe sio CCM.
Unajua nini mkuu? Mimi pia sikubaliani na uongozi na CCM miaka 60+ ya uhuru na bado changamoto zile zile tunashindwa kuondokana nazo ni ishara kwamba wameshindwa kutuvusha lakini iyo haiondoi ukweli kwamba kuna kundi kubwa la wajinga linatuangusha wachache waelevu. Demokrosia ni hatari sana ikitumika kwenye jamii ambayo ina population kubwa zaidi ya wajinga.SAWA.
Kwa hiyo CCM wanafanya wanachopashwa kufanya.
Hili tumelimaliza.
Kila mara ninapokutana na hili la waTanzania kuitwa "WAJINGA", ninajikuta nakataa katakata kukubali ujinga wa waTanzania.Unajua nini mkuu? Mimi pia sikubaliani na uongozi na CCM miaka 60+ ya uhuru na bado changamoto zile zile tunashindwa kuondokana nazo ni ishara kwamba wameshindwa kutuvusha lakini iyo haiondoi ukweli kwamba kuna kundi kubwa la wajinga linatuangusha wachache waelevu. Demokrosia ni hatari sana ikitumika kwenye jamii ambayo ina population kubwa zaidi ya wajinga.
Wanaamani wseme shida ni mbowe.Wanatengeneza matatizo wenyewe ili wayasolve muone wanafanya kazi
Mkamateni kiroboto Lucas Mwashambwa aje hapa amsifu mama kwa kutoa fedha za kununua majivu ili wanafunzi wasome.Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.
CCM tangu mwaka 1995 wamekuwa wanaongoza nchi hii. Kwa ivo umaskini wa watanzania chanzo chake ni wao kuwepo madarakani.
Kinachokera ni jinsi Kila wakiona umaskini wa watanzania huwa wanajifanya kusikitika au kushangaa.
Hebu angalia hiyo video hapo chini na uone kitu gani cha ajabu wasichokijua wao walichokuwa wanakishangaa!!
View attachment 3038489
Wanajifanya kuwa na uchungu wakati wao ndiyo chanzo.
Hawashindwi hao chawa... Luka ni msomi wa kiwango cha shahada kama mwenzake Mwijaku...Mkamateni kiroboto Lucas Mwashambwa aje hapa amsifu mama kwa kutoa fedha za kununua majivu ili wanafunzi wasome.
CCM NI MA💩💩💩 Sasa mnapo chagua kuongozwa na vinyesi tutegemee nini ?Kuna wakati inakera lakini ndiyo aina ya maisha waliyoamua kuishi CCM.