Son of Israel from Africa JF-Expert Member Joined Jan 14, 2015 Posts 2,006 Reaction score 2,963 Aug 30, 2026 #1 Wala sina mdaaa Ushauri nii huuu WATANGANYIKA WALIOKO CCM TUHAME TUHAMIE CDM TUKAIPIGANIE TANGANYIKA NAWAHAKIKISHIA ASUBUHI TUU TUNAPATA TANGANYIKA HURUU KABISA. Sitaki ushaurii nimeamua kusema Maana asilimia kubwa ya wanotekwa ni WATANGANYIKA TUU! Ila angalizo akina Lucas Mwashambwa wakija CDM tuwakatee wabaki ungunja kisikasii
Wala sina mdaaa Ushauri nii huuu WATANGANYIKA WALIOKO CCM TUHAME TUHAMIE CDM TUKAIPIGANIE TANGANYIKA NAWAHAKIKISHIA ASUBUHI TUU TUNAPATA TANGANYIKA HURUU KABISA. Sitaki ushaurii nimeamua kusema Maana asilimia kubwa ya wanotekwa ni WATANGANYIKA TUU! Ila angalizo akina Lucas Mwashambwa wakija CDM tuwakatee wabaki ungunja kisikasii
Hidden Diamond JF-Expert Member Joined Jan 31, 2024 Posts 260 Reaction score 481 Aug 30, 2026 #2 Sawa mkuu
BIN NUN JF-Expert Member Joined May 23, 2014 Posts 4,799 Reaction score 9,892 Aug 30, 2026 #3 Chadema imeundwa mwaka gani? Kwamba nyie mtakaotoka CCM ndo mtaenda fanya Chadema itawala kupitia nyie? Kwamba Chadema bila nyie wanaccm kuhamia hawawezi ipata Tanganyika mapema?
Chadema imeundwa mwaka gani? Kwamba nyie mtakaotoka CCM ndo mtaenda fanya Chadema itawala kupitia nyie? Kwamba Chadema bila nyie wanaccm kuhamia hawawezi ipata Tanganyika mapema?