Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa.
CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi Ikulu kiulaini sana.
Jiwe anasema amejenga flyovers, amenunua ndege 11, amejenga reli ya SGR, anajenga stieglers gorge, amejenga zahanati na kukarabati shule kongwe na anasomesha bure hadi kidato cha 4.
Yote haya kweli kafanya lakini bado watanzania wanaona Magufuli hastahili kuongezewa miaka mingine 5 kwa vile ameshindwa kukata kiu ya watz walio wengi! Watz wanataka maendeleo yao na si ya vitu.
For the last 5 years, no employment,no salary increment, no promotions, no pension payments to retirees.
Magufuli amewahi kusikika akisema hataongeza mishahara ya watumishi mpaka amalize miradi yake kwanza.
Huyu ni Rais wa ajabu sana. Kwake vitu ni muhimu kuliko watu.
Watz wamemkataa na hii hofu iko wazi sana. Kinachofanyika kwa sasa ni kuwawekea mapingamizi na kuwaengua wagombea wa upinzani hasa kwenye ngome kuu za upinzani ili ccm wapite bila kupingwa kama ilivokuwa uchaguzi za sm-2019! What a shame to magufuli and his CCM?
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM ya magufuli itaishia kutawala kwa kipindi kimoja tu.