Uchaguzi 2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

Uchaguzi 2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

It was a serious miscalculation not to hear the voice of the opposition and fail to gauge the sentiments of the citizens. What they are forced to dance now is called kindumbwendumbwe

Well said.
Let MAGUFULI and his CCM dance the kindumbwendumbwe music 🤣
 
magufuli ni famous kuliko lissu mara 1000, issue ya wansanii sio topic maana hata yeye mwenyewe kama mwenyewe akienda anajaza, lakini burudani lazima ziwepo hata vyama vingine wanaweka wasanii

Huo ni urongo mtupu!
Magufuli hana umaarufu wowote zaidi ya kutumia UBABE na MABAVU...!!
Kama unataka kujua nani maarufu Kati ya Tundu Lissu na John Pombe itisheni MDAHALO WA TV na Lugha itayotumika iwe KIINGEREZA...!!!
 
ANAYE WEWESEKA NI YULE JAMAA YENU ANAYE TUKAKANA WATUMISHI WA UMA NI MATAKATAKA YA JALALANIII.

Ili ujue anayeweweseka hapa kati ya Magufuli, Samia au Tundu Lissu linganisha kauli hizi:

Magufuli: Tundu Lissu aache kugombea Urais ntampa kazi nzuri kama akina Waitara, Anna Mghwira au Katambi n.k.
[SUP]Samia[/SUP] Suluhu: Kuna mtu anasema alipigwa risasi 38 na Watu WASIOJULIKANA. Sisi Askari wetu wa CCM huwa wanapiga risasi 3 tu WANAUA siyo 38..!!!
Tundu Lissu: Mwabieni Magufuli mimi siyo mtu wa kupewa kaxi sawa na wale anaowaokota majalalani(takataka) kama Wapinzani waliotemwa/kukimbia CHADEMA(Waitara, Katambi) ACT Wazalendo(Mghwira)n.k.
 
Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa.

CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi Ikulu kiulaini sana.

Jiwe anasema amejenga flyovers, amenunua ndege 11, amejenga reli ya SGR, anajenga stieglers gorge, amejenga zahanati na kukarabati shule kongwe na anasomesha bure hadi kidato cha 4.

Yote haya kweli kafanya lakini bado watanzania wanaona Magufuli hastahili kuongezewa miaka mingine 5 kwa vile ameshindwa kukata kiu ya watz walio wengi! Watz wanataka maendeleo yao na si ya vitu.

For the last 5 years, no employment,no salary increment, no promotions, no pension payments to retirees.

Magufuli amewahi kusikika akisema hataongeza mishahara ya watumishi mpaka amalize miradi yake kwanza.

Huyu ni Rais wa ajabu sana. Kwake vitu ni muhimu kuliko watu.

Watz wamemkataa na hii hofu iko wazi sana. Kinachofanyika kwa sasa ni kuwawekea mapingamizi na kuwaengua wagombea wa upinzani hasa kwenye ngome kuu za upinzani ili ccm wapite bila kupingwa kama ilivokuwa uchaguzi za sm-2019! What a shame to magufuli and his CCM?

Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM ya magufuli itaishia kutawala kwa kipindi kimoja tu.
Nyie wakulungwa Magufuli amefanya dhambi gani kiasi cha kutaka kumnyima miaka mingine mitano ya ukandamizaji ?
Kuweni na huruma basi, mwenzenu kila siku analalamika ile kazi ya urais ni ngumu sana lakini nyie bado mnataka kumnyima hiyo kazi ngumu
 
Bunge la spika Ndugai lilikuwa bunge dhaifu na la ovyo tangu kuasisiwa kwa taifa hili.

Well said.
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeshuhudia SERIKALI IKILISIMAMIA BUNGE badala ya Bunge KUISIMAMIA SERIKALI.....What a shame and disgrace to the poor Speaker ever a Gogo by tribe Job Ndugai....!!
 
Oktoba 28 tunakamilisha ratiba

Naongeza sauti šŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”Š
šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½

Magufuli 2020 šŸ’Æ
 
Well said.
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeshuhudia SERIKALI IKILISIMAMIA BUNGE badala ya Bunge KUISIMAMIA SERIKALI.....What a shame and disgrace to the poor Speaker ever a Gogo by tribe Job Ndugai....!!
Ndugai angekuwa na akili japo kidogo tu angejiuzuru
 
Naongeza sauti šŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”ŠšŸ”Š
šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½šŸ’ƒšŸ½

Magufuli 2020 šŸ’Æ

Nina MUTE Sauti isikike kama hivi: Magufuli 2020 šŸ™‰0%
 
Huo ni urongo mtupu!
Magufuli hana umaarufu wowote zaidi ya kutumia UBABE na MABAVU...!!
Kama unataka kujua nani maarufu Kati ya Tundu Lissu na John Pombe itisheni MDAHALO WA TV na Lugha itayotumika iwe KIINGEREZA...!!!

kwanini unatufokea! lissu ana followers wangap na magufuli ana followers wangap? magufuli 910K followers, lissu 100K, numbers dont lie, magufuli has won numerous awards africa hii, lissu ameshinda nn? tuzo ya amsterdam ama?
 
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2020 ZIMEMZINDUA RAIS JPM NA WATU WAKE
MH.LISSU AMEZUNGUMZIA AJIRA JPMNA CCM YAKE WAMEMWAGA AJIRA ZA KUTOSHA!
KAMA SIO LISSU WAALIMU WANGEAJIRIWA LINI.....???HONGERA SANA MH.LISSU MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUJALIA SIHA NJEMA.
 
Acha propaganda za kitaani.
Followers wanafuatilia vituko vya Rais wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania asiyejua KIINGEREZA ambaye kwa miaka yote 5 hajawahi kutia mguu wake nchi yoyote ya Ulaya, Asia au America.....!!!!Tatizo? Lugha gongana!
 
mbna hakuna kituko chochote alichopost, infact ana tuzo zake za heshima AFRIKA hii, mtakufa kwa presha
 
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2020 ZIMEMZINDUA RAIS JPM NA WATU WAKE
MH.LISSU AMEZUNGUMZIA AJIRA JPMNA CCM YAKE WAMEMWAGA AJIRA ZA KUTOSHA!
KAMA SIO LISSU WAALIMU WANGEAJIRIWA LINI.....???HONGERA SANA MH.LISSU MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUJALIA SIHA NJEMA.

Na bado....!!!
Watumishi wa Serikali nao wajiandae kwa NYONGEZA YA MISHAHARA na WASTAAFU WASUBIRI PENSHENU ZAO KUMWAGIKA KAMA MVUA....!!
Chezea Toto Tundu Lissu wewe.......🤣🤣🤣🤣
 
mbna hakuna kituko chochote alichopost, infact ana tuzo zake za heshima AFRIKA hii, mtakufa kwa presha
Can you please mention any award confered to Magufuli in his 5 years term? Nothing!
Maybe BULLDOZER AWARD by Gado.
 
Ili ujue anayeweweseka hapa kati ya Magufuli, Samia au Tundu Lissu linganisha kauli hizi:

Magufuli: Tundu Lissu aache kugombea Urais ntampa kazi nzuri kama akina Waitara, Anna Mghwira au Katambi n.k.
[SUP]Samia[/SUP] Suluhu: Kuna mtu anasema alipigwa risasi 38 na Watu WASIOJULIKANA. Sisi Askari wetu wa CCM huwa wanapiga risasi 3 tu WANAUA siyo 38..!!!
Tundu Lissu: Mwabieni Magufuli mimi siyo mtu wa kupewa kaxi sawa na wale anaowaokota majalalani(takataka) kama Wapinzani waliotemwa/kukimbia CHADEMA(Waitara, Katambi) ACT Wazalendo(Mghwira)n.k.
Kwani kumwambia aajiliwe huyo jamaa yenu nivibayaaa??
Maana jamaa yenu bila ushuda na KIKI ya chanzo kile cha ushuhuda, nimweupeee kichwaniii.
Nani wakufanya jemadari maguli aweweseke kwa sasa?
 
Can you please mention any award confered to Magufuli in his 5 years term? Nothing!
Maybe BULLDOZER AWARD by Gado.

1599557300587.png

go and get your copy you lazy woman
 
Ila binafsi nawalaum wapambe wa ccm wakiongozwa na akina kibajaji ni watu hatari sana walimdanganya wakasema amemaliza kila kitu hana ya kupiga kampeni uchaguzi wa mwaka huu,matokeo yake wamemuacha anahenya mwenyewe
 
Back
Top Bottom