Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Mkuu sio kweli, rejea hata vijana CCM Kirumba leo alikuwa akiwapoza kwamba anamalizia burudani iendelee, maisha magumu vijana wamefuata burudani ya bure.Rais Magufuli anatafuta 95% ya ushindi, ingekuwa anataka 85% ya ushindi angekaa zake ofisini tu
Ila tunataka tuwaonyeshe Chadema nyie ni vifaranga hamjui kitu
Rais Magufuli anatafuta 95% ya ushindi, ingekuwa anataka 85% ya ushindi angekaa zake ofisini tu

Nimefwatilia michango sijui kwanini post za Lumumba huwa zinafuatana sana... jingalao then Bia yetuRais Magufuli anatafuta 95% ya ushindi, ingekuwa anataka 85% ya ushindi angekaa zake ofisini tu
Ila tunataka tuwaonyeshe Chadema nyie ni vifaranga hamjui kitu
Mzalenfo2015 tangu lini ukawa mpinzani au inepiga U-turnKampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa!!!
CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi Ikulu kiulaini sana!!!
Jiwe anasema amejenga flyovers, amenunua ndege 11, amejenga reli ya SGR, anajenga stieglers gorge, amejenga zahanati na kukarabati shule kongwe na anasomesha bure hadi kidato cha 4!!!
Yote haya kweli kafanya lakini bado watanzania wanaona Magufuli hastahili kuongezewa miaka mingine 5 kwa vile ameshindwa kukata kiu ya watz walio wengi! Watz wanataka maendeleo yao na si ya vitu!!!
For the last 5 years, no employment,no salary increment, no promotions, no pension payments to retirees.
Magufuli amewahi kusikika akisema hataongeza mishahara ya watumishi mpaka amalize miradi yake kwanza.....!!!
Huyu ni Rais wa ajabu sana. Kwake vitu ni muhimu kuliko watu....!!!
Watz wamemkataa na hii hofu iko wazi sana. Kinachofanyika kwa sasa ni kuwawekea mapingamizi na kuwaengua wagombea wa upinzani hasa kwenye ngome kuu za upinzani ili ccm wapite bila kupingwa kama ilivokuwa uchaguzi za sm-2019! What a shame to magufuli and his CCM?
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM ya magufuli itaishia kutawala kwa kipindi kimoja tu....!!
Stroke kapotea, kipara kipya hana jipya, mudawote, Wakudadavua, lizabon?Nimefwatilia michango sijui kwanini post za Lumumba huwa zinafuatana sana... jingalao then Bia yetu
Munao jua ni nyinyi wauwaji na watekaji na kuwazuia wagombea wa vyama vya upinzani wasirejeshe fomuRais Magufuli anatafuta 95% ya ushindi, ingekuwa anataka 85% ya ushindi angekaa zake ofisini tu
Ila tunataka tuwaonyeshe Chadema nyie ni vifaranga hamjui kitu
Mkuu sio kweli, rejea hata vijana ccm Kirumba leo alikuwa akiwapoza kwamba anamalizia burudani iendelee, maisha magumu vijana wamefuata burudani ya bure.
ANAYE WEWESEKA NI YULE JAMAA YENU ANAYE TUKAKANA WATUMISHI WA UMA NI MATAKATAKA YA JALALANIII.Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa.
CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi Ikulu kiulaini sana.
Jiwe anasema amejenga flyovers, amenunua ndege 11, amejenga reli ya SGR, anajenga stieglers gorge, amejenga zahanati na kukarabati shule kongwe na anasomesha bure hadi kidato cha 4.
Yote haya kweli kafanya lakini bado watanzania wanaona Magufuli hastahili kuongezewa miaka mingine 5 kwa vile ameshindwa kukata kiu ya watz walio wengi! Watz wanataka maendeleo yao na si ya vitu.
For the last 5 years, no employment,no salary increment, no promotions, no pension payments to retirees.
Magufuli amewahi kusikika akisema hataongeza mishahara ya watumishi mpaka amalize miradi yake kwanza.
Huyu ni Rais wa ajabu sana. Kwake vitu ni muhimu kuliko watu.
Watz wamemkataa na hii hofu iko wazi sana. Kinachofanyika kwa sasa ni kuwawekea mapingamizi na kuwaengua wagombea wa upinzani hasa kwenye ngome kuu za upinzani ili ccm wapite bila kupingwa kama ilivokuwa uchaguzi za sm-2019! What a shame to magufuli and his CCM?
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM ya magufuli itaishia kutawala kwa kipindi kimoja tu.
It was a serious miscalculation not to hear the voice of the opposition and fail to gauge the sentiments of the citizens. What they are forced to dance now is called kindumbwendumbweKampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa.
CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi Ikulu kiulaini sana.
Jiwe anasema amejenga flyovers, amenunua ndege 11, amejenga reli ya SGR, anajenga stieglers gorge, amejenga zahanati na kukarabati shule kongwe na anasomesha bure hadi kidato cha 4.
Yote haya kweli kafanya lakini bado watanzania wanaona Magufuli hastahili kuongezewa miaka mingine 5 kwa vile ameshindwa kukata kiu ya watz walio wengi! Watz wanataka maendeleo yao na si ya vitu.
For the last 5 years, no employment,no salary increment, no promotions, no pension payments to retirees.
Magufuli amewahi kusikika akisema hataongeza mishahara ya watumishi mpaka amalize miradi yake kwanza.
Huyu ni Rais wa ajabu sana. Kwake vitu ni muhimu kuliko watu.
Watz wamemkataa na hii hofu iko wazi sana. Kinachofanyika kwa sasa ni kuwawekea mapingamizi na kuwaengua wagombea wa upinzani hasa kwenye ngome kuu za upinzani ili ccm wapite bila kupingwa kama ilivokuwa uchaguzi za sm-2019! What a shame to magufuli and his CCM?
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM ya magufuli itaishia kutawala kwa kipindi kimoja tu.
Uchaguzi ungekuwa HAKI & HURU huyo nabii wenu angeisoma namba sawasawa!.Oktoba 28 tunakamilisha ratiba
Anataka kuwa mfalme