Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
- Thread starter
-
- #21
It was a serious miscalculation not to hear the voice of the opposition and fail to gauge the sentiments of the citizens. What they are forced to dance now is called kindumbwendumbwe
magufuli ni famous kuliko lissu mara 1000, issue ya wansanii sio topic maana hata yeye mwenyewe kama mwenyewe akienda anajaza, lakini burudani lazima ziwepo hata vyama vingine wanaweka wasanii
ANAYE WEWESEKA NI YULE JAMAA YENU ANAYE TUKAKANA WATUMISHI WA UMA NI MATAKATAKA YA JALALANIII.
Nyie wakulungwa Magufuli amefanya dhambi gani kiasi cha kutaka kumnyima miaka mingine mitano ya ukandamizaji ?Kampeni za uchaguzi wa octoba 2020 zinachangamsha sana. Pamoja na CCM na serikali ya Magufuli kuzuia na kupiga marufuku mikutano ya upinzani tangia 2016 ili kufifisha nguvu ya upinzani mambo ni kinyume kabisa.
CCM na jiwe kwa akili za kitoto walifikiri wakifanya hivo uchaguzi wa 2020 watarudi Ikulu kiulaini sana.
Jiwe anasema amejenga flyovers, amenunua ndege 11, amejenga reli ya SGR, anajenga stieglers gorge, amejenga zahanati na kukarabati shule kongwe na anasomesha bure hadi kidato cha 4.
Yote haya kweli kafanya lakini bado watanzania wanaona Magufuli hastahili kuongezewa miaka mingine 5 kwa vile ameshindwa kukata kiu ya watz walio wengi! Watz wanataka maendeleo yao na si ya vitu.
For the last 5 years, no employment,no salary increment, no promotions, no pension payments to retirees.
Magufuli amewahi kusikika akisema hataongeza mishahara ya watumishi mpaka amalize miradi yake kwanza.
Huyu ni Rais wa ajabu sana. Kwake vitu ni muhimu kuliko watu.
Watz wamemkataa na hii hofu iko wazi sana. Kinachofanyika kwa sasa ni kuwawekea mapingamizi na kuwaengua wagombea wa upinzani hasa kwenye ngome kuu za upinzani ili ccm wapite bila kupingwa kama ilivokuwa uchaguzi za sm-2019! What a shame to magufuli and his CCM?
Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi CCM ya magufuli itaishia kutawala kwa kipindi kimoja tu.
Bunge la spika Ndugai lilikuwa bunge dhaifu na la ovyo tangu kuasisiwa kwa taifa hili.Anataka Wabunge wakumsifia na kumpigia makofi kama Mfalme. Tusifanye makosa kurudisha taswila bunge la 11.
Kauli yako ya kinyonge sana chief. Ni kama vile umeridhia wizi wa kura.uchaguzi ungekuwa HAKI & HURU huyo nabii wenu angeisoma namba sawasawa!.
Bunge la spika Ndugai lilikuwa bunge dhaifu na la ovyo tangu kuasisiwa kwa taifa hili.
Oktoba 28 tunakamilisha ratiba
Ndugai angekuwa na akili japo kidogo tu angejiuzuruWell said.
Kwa mara ya kwanza Tanzania imeshuhudia SERIKALI IKILISIMAMIA BUNGE badala ya Bunge KUISIMAMIA SERIKALI.....What a shame and disgrace to the poor Speaker ever a Gogo by tribe Job Ndugai....!!
Naongeza sauti ππππππππππ
ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½ππ½
Magufuli 2020 π―
ππππππNina MUTE Sauti isikike kama hivi: Magufuli 2020 π0%
Huo ni urongo mtupu!
Magufuli hana umaarufu wowote zaidi ya kutumia UBABE na MABAVU...!!
Kama unataka kujua nani maarufu Kati ya Tundu Lissu na John Pombe itisheni MDAHALO WA TV na Lugha itayotumika iwe KIINGEREZA...!!!
kwanini unatufokea! lissu ana followers wangap na magufuli ana followers wangap? magufuli 910K followers, lissu 100K, numbers dont lie, magufuli has won numerous awards africa hii, lissu ameshinda nn? tuzo ya amsterdam ama?
Acha propaganda za kitaani.
Followers wanafuatilia vituko vya Rais wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania asiyejua KIINGEREZA ambaye kwa miaka yote 5 hajawahi kutia mguu wake nchi yoyote ya Ulaya, Asia au America.....!!!!Tatizo? Lugha gongana!
KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU 2020 ZIMEMZINDUA RAIS JPM NA WATU WAKE
MH.LISSU AMEZUNGUMZIA AJIRA JPMNA CCM YAKE WAMEMWAGA AJIRA ZA KUTOSHA!
KAMA SIO LISSU WAALIMU WANGEAJIRIWA LINI.....???HONGERA SANA MH.LISSU MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUJALIA SIHA NJEMA.
Can you please mention any award confered to Magufuli in his 5 years term? Nothing!mbna hakuna kituko chochote alichopost, infact ana tuzo zake za heshima AFRIKA hii, mtakufa kwa presha
Kwani kumwambia aajiliwe huyo jamaa yenu nivibayaaa??Ili ujue anayeweweseka hapa kati ya Magufuli, Samia au Tundu Lissu linganisha kauli hizi:
Magufuli: Tundu Lissu aache kugombea Urais ntampa kazi nzuri kama akina Waitara, Anna Mghwira au Katambi n.k.
[SUP]Samia[/SUP] Suluhu: Kuna mtu anasema alipigwa risasi 38 na Watu WASIOJULIKANA. Sisi Askari wetu wa CCM huwa wanapiga risasi 3 tu WANAUA siyo 38..!!!
Tundu Lissu: Mwabieni Magufuli mimi siyo mtu wa kupewa kaxi sawa na wale anaowaokota majalalani(takataka) kama Wapinzani waliotemwa/kukimbia CHADEMA(Waitara, Katambi) ACT Wazalendo(Mghwira)n.k.
Can you please mention any award confered to Magufuli in his 5 years term? Nothing!
Maybe BULLDOZER AWARD by Gado.