Uchaguzi 2020 CCM ya Magufuli wanaweweseka kitu gani ilhali miaka yote 5 nchi ilikuwa yao?

Magufuli Si aibe sera ya Ubwabwa ya ya Hashim Rungwe ili watu wanaisafirishwa na Malori waache kupiga miayo ya njaa na uoga
 
Huyu jamaa ni wa ajabu sana! Ukweli ni kwamba hata nchi zilizoendelea ziliwaendeleza na kuwastawisha watu kwanza. Msingi wa maendeleo ni watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora na siyo Reli, Ndege, na SGR. Watu wakistawi watapanda Ndege. Sasa wewe unanunua Ndege huku watu wanakufa kwa kukosa panadol hospitalini! Nani wa kupanda hiyo Ndege katikati ya ufukara? Angetumia hizo fedha za Ndege kujenga vyuo vya ufundi kila Kata ningemwona wa maana. Hiki tulichonacho ni kituko toka Chato.
 
Kama ni kujenga miundombinu hata wakoloni walijenga tena kwa ubora zaidi ya sasa lakini tuliwafukuza kwa kutunyima uhuru wa kuhoji, kuamua mambo yetu, kudai haki zetu na kutweza utu wetu.
 
Watumishi wote kura kwa Lissu.

Hata kama mikutano yake haioneshwi
 
magufuli ni famous kuliko lissu mara 1000, issue ya wansanii sio topic maana hata yeye mwenyewe kama mwenyewe akienda anajaza, lakini burudani lazima ziwepo hata vyama vingine wanaweka wasanii
Mku lakini kumbuka kuwaweka hapo jukwani wasanii ni gharama usifikiri wanajitolea tu.
 
Mku lakini kumbuka kuwaweka hapo jukwani wasanii ni gharama usifikiri wanajitolea tu.

ccm kuhusu swala la pesa sio shida, watu wawili tu ndan ya ccm wanawza kuhandle hio sector. ccm pia imewekeza sana nje na siasa haswa kwenye real estates, hua wanatumia vizuri sana pesa zao ni tafaut na huyo mwingine anaechangisha wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…