WanaJf,
Salaàm!
Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi.
- Umeme upo
- Maji yapo
- Barabara zipo
- Mikopo kwa wanafunzi ipo
- Uwezeshaji wanawake, walemavu, na wazee umefanyika
- Ajira kwa vijana zimeongezeka
- Ruzuku ya kilimo ipo
- Michezo imefadhiliwa nk nk
Sasa hawa viongozi wa CCM tuwashauri wajikite ktk kupambania mambo gani ambayo yana maslahi kwa watanzania wote?