JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kama hawa ndio mboni ya CCM hadi August 2025 watabaki walamba bendela kwenye CHAMA.
Kama chama kinataka kuendelea kuongoza kifanye u-turn mapema sana.
Kilete watu wenye mchakamchaka na wanao jua kubadili hari ya hewa.
Sasa hivi CCM imepoa sana.
Hata wana CCM wenyewe wakongwe hawaelewi wafanye nini ukizingatia kuna zile zidumu fikila za mwenyekiti.
Sasa CCM inahitaji watu wa kufafanua yafuatayo kisiasa sio kiselikali kama anavyofanya G.Msigwa.
1. Uzwaji wa wanyama nje ya nchi.
2. Kubinafisishwa kwa bandari. Hili jambo halijawahi kueleweka.
3. Kuuzwa kwa maekali ya mapoli kwa wageni.
4. Kuondolewa kwa wamasai.
5. Abdul kuiwakilisha serikali huko ng'ambo.