VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
- Thread starter
-
- #41
utakoma na ujinga wako. msimamo wenu ni serikali nyingi, sisi tunasiamamia kwenye serikali mbili. twendeni kwenye hoja.
Usitake kuharalisha hoja yako kwa kujinasibisha kama wewe ni mwanaCCM na unafanya kazi ofisi ndogo ya makao makuu ya CCM, Lumumba.
Kila mara unaleta uwongo na uzandiki hapa JF kutaka kuwaaminisha wanaJF.
Tunakufahamu vizuri sana ila sheria za JF hazituruhusu kuwambia wanaJF uhalisia wako.
Uwongo siyo nguzo imara na uwongo mara nyingi huwa ni siraha ya muda mfupi.
Endelea kuwadanganya wanaJF.
CCM ina msimamo wake rasmi juu ya Rasimu ya Katiba mpya.Msimamo huo unahusu hasa kupinga kwa nguvu zote uwepo wa Serikali Tatu. Msimamowa cahama chetu ni kutaka Serikali mbili. Si tatu kama Rasimu inavyopendekeza.
Pamoja na kutoa msimamo kichama,CCM inategemea makada wake walioko kwenye Tume ya Katiba iliyochini ya Jaji Joseph Sinde Warioba ili kuchukua msimamo huo wa chama kama'maoni ya wananchi wengi'. Mambo sasa ni tofauti. Wajumbe karibu wote wa Tume ya Warioba wanaupinga hadharani msimamo wa CCM-wa Serikali mbili na kutetea Serikali tatu.
Ningetarajia wengine wote waunge mkono 'usaliti' kwa chama lakini si Prof. Palamagamba J. A. M. Kabudi. Lakini jana,Prof.Kabudi,akiwa Kisarawe, amesema wazi kuwa Serikali tatu hazikwepeki. Naujua msimamo dhabiti wa Prof.Kabudi katika utetezi wa sera na misimamo ya chama na Serikali yake. Mfano wa hivi karibuni ni kuunga mkono katazo la mgombea huru katika kesi ya Mwanasheria Mkuu dhidi ya Mchungaji Christopher Mtikila iliyokuwa na kuamuliwa na Mahakama ya Rufani Tanzania.
Huu wa jana ni mpya. Naye ameamua kuicha solemba CCM.Ameikatalia. Prof.Kabudi amesema kitu pekee kitakachosaidia kuwapo kwa maridhiano kati yetu kama watanzania ni Serikali tatu tu. Si vinginevyo. Baada ya hapo,Wajumbe karibu wote wa Baraza la Katiba Wilaya ya Kisarawe walikubaliana naye.
Wakabadili msimamo wao.Wakalaumu 'kulishwa kasa' kwa mambo muhimu kama haya;tena na chama tawala.Wajumbe hao wakaendelea kuchangia Rasimu kwa bashasha na utulivu.Wakauweka msimamo wa CCM kando. Wakaupuuza. Prof.Kabudi apaswa kwenda kwinginepo pia kuisambaratisha picha isiyovutia ya msimamo wa CCM.
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kama una mawazo ya kupunguza idadi ya serikali kwa ninj usije na wazo la serikali moja tu.unafikiri kuwa na nchi mbili zenye serikali mbili...kuna muungano hapo au ni jina tu.Ni wajibu wako kutoa maoni yako ya serikali tatu hata tano ukitaka, naheshimu sana mawazo yako. mimi maoni yangu ni serikali mbili tu, hakuna sababu ya kuwa na miserikali miiingi, huo ni uroho wa madaraka na ni mzigo kwa walipa kodi
JF ni taasisi inayoheshimiwa sana lkn tukiacha maandiko kama haya yatawale humu wote tutaonekana mahayawani!
Hata uhuru wa kuongea una mipaka yake
Mawaziri 50 ndio mzigo kwa walipa kodi, lkn sio serikali 3 mawaziri wachache.Ni wajibu wako kutoa maoni yako ya serikali tatu hata tano ukitaka, naheshimu sana mawazo yako. mimi maoni yangu ni serikali mbili tu, hakuna sababu ya kuwa na miserikali miiingi, huo ni uroho wa madaraka na ni mzigo kwa walipa kodi
Yote hayo ni ubatili mtupu suluhisho la mgongano huu ni kuwa na Serikali moja wanaotaka Serikali mbili ni walafi, wanafiki na mafisadi. Huwezi kuogopa Serikali tatu halafu useme unataka Serikali mbili kwa sababu ya kuogopa gharama!Ni wajibu wako kutoa maoni yako ya serikali tatu hata tano ukitaka, naheshimu sana mawazo yako. mimi maoni yangu ni serikali mbili tu, hakuna sababu ya kuwa na miserikali miiingi, huo ni uroho wa madaraka na ni mzigo kwa walipa kodi
Mawaziri 50 ndio mzigo kwa walipa kodi, lkn sio serikali 3 mawaziri wachache.
Hukulazimishwa kuja jf, mseme msemavyo serikali tatu lazima, pumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaavu
Asante kwa taarifa mkuu , magamba yote yatapukutika hata kwa upepo , Poor Magamba !
lazima? Una akili sawa sawa ww? Kwa taarifa yako, muundo wa muungano wa serikali mbili haubadiliki. Kawaambie na mabwana zako
Mkuu hii si mada.Hii ni habari
lazima? Una akili sawa sawa ww? Kwa taarifa yako, muundo wa muungano wa serikali mbili haubadiliki. Kawaambie na mabwana zako