Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Mkuu Mwande, Mwande na Mndewa , CCM inachokifanya ni kitu sahihi, kuwaeleza ukweli wananchi kuwa Bandari yetu/zetu hazijauzwa!, wanaosema Bandari zetu zimeuzwa ni wapotoshaji!.Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Mkuu Pascal,Mkuu Mwande, Mwande na Mndewa , CCM inachokifanya ni kitu sahihi, kuwaeleza ukweli wananchi kuwa Bandari yetu/zetu hazijauzwa!, wanaosema Bandari zetu zimeuzwa ni wapotoshaji!.
P
Hili mimi nimelieleza vizuri sana kwenye andiko langu Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!Mkuu Pascal,
DPW walijua kunawezekana kukatokea matukio ya kupingwa na Watanzania huko mbele, washapata uzoefu wa kesi kama na Djibouti. Kwa kujua hilo, wametaka kuilinda UAE, wakafanya mikataba bila kutumia jina la UAE, wakitumia jina la Dubai, kwa devolvement kutoka UAE, sisi tukakubali.
Ili kukubali kisheria, lazima kuwepo POA toka UAE kwa Dubai, kisha POA ya Dubai kwa DPW.Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal,
Hakuna hata milimita moja ya Bandari yetu iliyouzwa.kwa mantiki hiyo Bandari za Tanzania zimeuzwa na waliokubali kusaini mkataba huo wa bandari.
Bandari imeuzwaje?Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Hata Itume mashati na kofia Za ccm ,Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Lkn mbona hamtaji bei ilivyouzwa?Mkuu Pascal,
DPW walijua kunawezekana kukatokea matukio ya kupingwa na Watanzania huko mbele, washapata uzoefu wa kesi kama na Djibouti. Kwa kujua hilo, wametaka kuilinda UAE, wakafanya mikataba bila kutumia jina la UAE, wakitumia jina la Dubai, kwa devolvement kutoka UAE, sisi tukakubali.
Hapo kama kuna kosa ni letu, wao wakiulizwa hawana tabu kuonesha UAE imekubali, this is a business deal,kwa mantiki hiyo Bandari za Tanzania zimeuzwa na waliokubali kusaini mkataba huo wa bandari.
Hata kutolewa bure ni kuuzwa .Lkn mbona hamtaji bei ilivyouzwa?
Hahaaa, heshima yako mkuu sana!Mkuu Mwande, Mwande na Mndewa , CCM inachokifanya ni kitu sahihi, kuwaeleza ukweli wananchi kuwa Bandari yetu/zetu hazijauzwa!, wanaosema Bandari zetu zimeuzwa ni wapotoshaji!.
P
Sijui kwanini waislam wakipewa nchi lazima wauze kwa waarabu vipi nyie na hao waarabu jameni,Hata kutolewa bure ni kuuzwa .
Awamu ya pili na hii ya sita huwa wana tabia Za kuuza Mali Za nchi.
Daniel Chongolo ??Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM. Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Hawataki kufanya kazi Kwa Indio na kutumia akili nyingi.Sijui kwanini waislam wakipewa nchi lazima wauze kwa waarabu vipi nyie na hao waarabu jameni,
Mwinyi - aliuza wanyama wote nakuleta mitumba na tv na kauza ngozi za wanyama kwa waarabu haya.
Kikwete - alikuwa anauza mbuga za wanyama ili aoe mke watatu wa kiarabu ambaye alikuwa princess , akawapa ruksa wachina waje wakavuruge nchi humu.
Huyu sasa Samia anashida kabisa imebaki bandari tu haijauzwa ndio anailipia debe what the heck ??? Shida nini??? Mnachosha sana tuachieni nchi yetu nendeni zanzibar kauzeni kila kitu kwenu
Adv. Nisaidie Mkataba ni wa muda tafadhali?Mkuu Mwande, Mwande na Mndewa , CCM inachokifanya ni kitu sahihi, kuwaeleza ukweli wananchi kuwa Bandari yetu/zetu hazijauzwa!, wanaosema Bandari zetu zimeuzwa ni wapotoshaji!.
P
Watu hawapigi wale jamaa kuwa pale. Ishu ni ndani ya muda gani?Wanaopinga uwekezaji wa DP World wana chuki binafsi.