Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
IGA haina issue yoyote, mambo yote ni HGA.Nami niulize, ikitokea kesi ya uwekezaji huu, tukienda mahakamani nini kitaletwa kati ya IGA na HGA?
Duh! Nisubiri uamuzi wa mahakama tu maana huku nje ni kila myIGA haina issue yoyote, mambo yote ni HGA.
P
Kaka Pasco ili kitu kiwe kimeuzwa mpaka kiwajeMkuu Mwande, Mwande na Mndewa , CCM inachokifanya ni kitu sahihi, kuwaeleza ukweli wananchi kuwa Bandari yetu/zetu hazijauzwa!, wanaosema Bandari zetu zimeuzwa ni wapotoshaji!.
P
Wajinga wanapoteza muda wao. Hapo ndiyo utajua kuwa ndani ya CCM, tena fikiria huyu ni katibu Mkuu, kuna watu wenye uelewa duni kiasi gani.Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM.
Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Kama Hakuna POA toka UAE, IGA na DPW ni halali Kwa kutumia POA ya Dubai isiyo na Sovereignty?Hili mimi nimelieleza vizuri sana kwenye andiko langu Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!
Ili kukubali kisheria, lazima kuwepo POA toka UAE kwa Dubai, kisha POA ya Dubai kwa DPW.
Hakuna hata milimita moja ya Bandari yetu iliyouzwa.
P
Huu ni ujuha kabisaKatibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama ilivyoelekezwa kwenye Ilani ya CCM.
Chama kitaendelea kuisimamia Serikali itekeleze Ilani ili kutengeneza fursa za maendeleo kwa ajili ya Watanzania wote.
TunaImaniNaSAMIA
Wamekutia Uchunguu??Broo!!Tumia kanuni Moja,ukiwa mwenyekiti
wao,na ukiwa Rais waachie mchwa wale,halafu nenda kanye hadharani chawa na mchwa watakusafisha na kutetea.
Njaa hizi mkubwa,watu wanataka kushiba bure bure bila kuhangaika.Yaani Ccm yangu inatetea nchi kuuzwa kwa waarabu?
Madudu mengi yamefanyika bado tunaonekana ni kondoo,nyani akija shambani kwako akagundua unamuogopa ujue huna shamba.Yaani Ccm yangu inatetea nchi kuuzwa kwa waarabu?