Uchaguzi 2020 CCM yaanza kampeni kimya kimya. Tulia aanza kula kwa Mama Lishe, wananchi waziponda mbinu hizo; yadaiwa zimepitwa na wakati

Ccm bana.. wanambinu za kizamani sana.. Chadema watafanya wakianza sijui itakuaje. Mwaka huu badala ya pushapu sijui watafajya kitu gani?
 
Yeye akila wewe unapungukiwa nini
Tulia Kwao Mbeya yeye na ukoo wake aweza kula popote.Sugu yeye na ukoo wake sio wenyeji wa mkoa wa Mbeya Ni watu wa kuja lazima aachie ubunge huyo Sugu mtu wa kuja.Mbeya hakuna ukoo wa mbilinyi.Mbilinyi Ni mkoloni kaja kutawala Mbeya.Ni wakati wa kuondoa ukoo wa wakoloni wa akina Mbilinyi wanaotawala Mbeya na kuweka ukoo wa wazawa wa Mbeya akina Tulia
 
Je una akili timamu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…