Mshumaa_Tz
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 681
- 2,501
Mimi binafsi siwezi kumchagua mtu mweusi flat screen mwenye HIV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tunasema imepitwa na wakatiNi kama vile Lowassa alipopanda daladala la Chanika mwaka 2015.
Raha ya dera uwe na tako
View attachment 1483602
Kitendo cha viongozi wake kuzunguka mitaani bila jambo lolote la Msingi huku wakizongwa na wafuasi waliobeba bendera za chama chao kimetafsiriwa kama ni ishara ya kuanza kampeni kabla ya muda .
Hii ni kinyume kabisa cha sheria za uchaguzi ambapo kampeni zinapaswa kufanyika katika muda uliowekwa na tume huku vyama vyote vikishiriki .
View attachment 1483608
😆😆😆Bunge limeisha hivo tulia sio kiongozi kwa sasa ni mwanamchi hivo kunchangamana na wananchi wenzake sio shida
Mama nipe radhiOmba radhiiii.. Haaa
😆😆😆halafu Erythrocyte nahisi utakua wewe ndio sugu mwenyewe maana Tulia umemkomalia sana
Sio tako,bali uwe na Chura tena anaerukaruka kwa madaha.Raha ya dera uwe na tako
Tulia Kwao Mbeya yeye na ukoo wake aweza kula popote.Sugu yeye na ukoo wake sio wenyeji wa mkoa wa Mbeya Ni watu wa kuja lazima aachie ubunge huyo Sugu mtu wa kuja.Mbeya hakuna ukoo wa mbilinyi.Mbilinyi Ni mkoloni kaja kutawala Mbeya.Ni wakati wa kuondoa ukoo wa wakoloni wa akina Mbilinyi wanaotawala Mbeya na kuweka ukoo wa wazawa wa Mbeya akina TuliaYeye akila wewe unapungukiwa nini
Je una akili timamu ?Tulia Kwao Mbeya yeye na ukoo wake aweza kula popote.Sugu yeye na ukoo wake sio wenyeji wa mkoa wa Mbeya Ni watu wa kuja lazima aachie ubunge huyo Sugu mtu wa kuja.Mbeya hakuna ukoo wa mbilinyi.Mbilinyi Ni mkoloni kaja kutawala Mbeya.Ni wakati wa kuondoa ukoo wa wakoloni wa akina Mbilinyi wanaotawala Mbeya na kuweka ukoo wa wazawa wa Mbeya akina Tulia
Wacha weeee !!!Hapo sugu hatoboi.
Eti "Sugu hashikiki mbeya",yetu macho kuangalia mtifuano.Vipi nawewe hushikiki kyela au ulishaghairi?Wacha weeee !!!View attachment 1483685
Mwakyembe hatoki mkuuEti "Sugu hashikiki mbeya",yetu macho kuangalia mtifuano.Vipi nawewe hushikiki kyela au ulishaghairi?
Bora umejua mapema usipoteze pesa bure.Mwakyembe hatoki mkuu
Jifunze lugha za mjini .Bora umejua mapema usipoteze pesa bure.
Mtoto akililia wembe mpe !Huyu bibie aangalie anajazwa na watu kuhusu Mbeya. Hapo Mbeya wanapigaga mtu kwa nusu ya kura. 50:100