Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio chombo kinachoongoza kwa Rushwa kikicuatiwa na Jeshi la polisiTupige kura ya kukataa uwepo wa TAKUKURU, tuungane kuikataa ni hasara kwa taifa
Na kesi zao nyingi zikifika mahakamani tunaishia kusikia waliangukia pua, watuhumiwa kusamehewa ama kutosikia matokeo yake.Ndio chombo kinachoongoza kwa Rushwa kikicuatiwa na Jeshi la polisi
Hatari snNaona hapo kuna mama na mtoto mgongoni [emoji1] anachukua chake mapema
Ova
"Tusifute uchaguzi kwasababu tuu watu wamejua"It's not fair kufuta uchaguzi kwasababu tuu clip ya rushwa imeonekana public kupitia mitandao ya kijamii.
Baadhi yetu humu ni wana CCM, CCM yetu ya kisasa tunaijua, na tunajua what it takes ili uchaguliwe, we all know the name of the game, and the games people plays kushinda, hivyo tusifute chaguzi kwasababu tuu watu wamejua!.
P
Ni aibu kubwa kabisa kwa mtu wa kiwango chako kusema uliyosema. Ukiweza kutafsiri tofauti kati ya bribery na corruption, utajua kuwa unatete corruption!! Corruption inakusudiwa kuelekeza ushawishi wakati bribery inaweza kuwa ni zawadi ya kufanya jambo. Katika yote hayo, kuna ushawishi na asiyetoa hiyo corruption anakuwa loser immediately.Hakuna rushwa CCM, kilichopo na kinachofanyikaga ni utoaji tuu wa fedha kidogo za uwezeshaji wa logistics support kama usafiri, nauli, kwa wana CCM waliopungukiwa nauli, na fedha kidogo za mchango wa kuimarisha chama, na kama una uwezo, hakuna ubaya wowote kuwakirimu wahumbe kwa kidogodogo cha takrima ya maji, soda, chakula na vitafunwa!. Hivi ndivyo siku zote tunavyo wa treat wajumbe wetu!.
Wajumbe ni watu muhimu sana, lazima wawe treated ipasavyo.
P
Wakati ndio kawaida yetu ila zoezi kama hilo halifanyiki hivi waziwazi hadharani, hufanyika kistarabu kwa staha."Tusifute uchaguzi kwasababu tuu watu wamejua"
Rushwa ni ngazi zote tena waziwaziWanajikosha tuu hao CCM!
Kuna uchaguzi wa CCM usikose rushwa,figisu figisu na uzabizabina?
😂😂😂😂 It takes alotIt's not fair kufuta uchaguzi kwasababu tuu clip ya rushwa imeonekana public kupitia mitandao ya kijamii.
Baadhi yetu humu ni wana CCM, CCM yetu ya kisasa tunaijua, na tunajua what it takes ili uchaguliwe, we all know the name of the game, and the games people plays kushinda, hivyo tusifute chaguzi kwasababu tuu watu wamejua!.
P
Majizi yote hayo
Hao ndiyo waasisi wa mdudu takrima miaka ileeee!!Ni aibu kubwa kabisa kwa mtu wa kiwango chako kusema uliyosema. Ukiweza kutafsiri tofauti kati ya bribery na corruption, utajua kuwa unatete corruption!! Corruption inakusudiwa kuelekeza ushawishi wakati bribery inaweza kuwa ni zawadi ya kufanya jambo. Katika yote hayo, kuna ushawishi na asiyetoa hiyo corruption anakuwa loser immediately.
Kwa kujificha watu wasione,ila watu wameona wamefuta.Wakati ndio kawaida yetu ila zoezi kama hilo halifanyiki hivi waziwazi hadharani, hufanyika kistarabu kwa staha.
P
Sijasema hufanyika kwa kujificha, nimesema hufanyika kistaarabu na kwa staha!.Kwa kujificha watu wasione,ila watu wameona wamefuta.
No sio wafanye kwa kujificha, bali wafanye kistaarabu na kwa staha kama kwengine kote!.So wafanye upya kwa kujificha wasionekane tena.
No sibariki, bali taratibu ni kama sheria, huo ni utaratibu wa kawaida kabisa kwa wanachama wenye uwezo kukichangia chama au kuwachangia wanachama individually michango midogo midogo ya nauli na maji ya kunywa!.So unabariki tuishi humo,muheshimiwa paskali?
Aibu sana hii.Chama Cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa.
Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za rushwa.
Mbali na Simiyu, lakini CCM kimesimamisha uchaguzi wa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kwa mikoa ya Arusha na Mbeya ambao wanatuhumiwa kutembeza rushwa huku wakionya uamuzi wa kufuta unaweza kuendelea katika maeneo yatakayobainika kukiuka sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Novemba 21,2022 na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa Chongolo, leo ni siku ya tatu timu maalumu ya uchunguzi ipo huko ikichunguza zaidi kuhusu kilichojili ili vikao vifanye uamuzi.
Chongolo ametaja sababu kuu ni vitendo vya rushwa ambavyo vimetajwa katika maeneo hayo na kuwa chama hakitavulimia vitendo hivyo pale inapobainika.
"Mbali na hilo, tunachunguza kuhusu uchaguzi wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi katika tuhuma za kada mmoja kubeba boksi la kura kwenda nalo chumba cha kuhesabia kura ikibainika tutatoa maelekezo ama ya kufuta matokeo au kuruhusu aliyetangazwa aendelee," amesema Chongolo.
Kiongozi huyo ambaye ni mkurugenzi wa uchaguzi ndani ya chama amesema hawako tayari kuona viongozi wanaingia madarakani kwa rushwa na vitendo viovu.
Kuhusu adhabu zitakazotolewa alisema ni kuondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi na kupelekwa katika vyombo husika.
Chanzo: Mwananchi
View attachment 2422978
Afute nchi nzima kwani kote wamepata uongozi kwa rushwa,haya maeneo waliyokuwa uchaguzi jua kuwa wamepita watu wasiowatakaChama Cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa.
Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za rushwa.
Mbali na Simiyu, lakini CCM kimesimamisha uchaguzi wa wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kwa mikoa ya Arusha na Mbeya ambao wanatuhumiwa kutembeza rushwa huku wakionya uamuzi wa kufuta unaweza kuendelea katika maeneo yatakayobainika kukiuka sheria.
Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Novemba 21,2022 na Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma.
Kwa mujibu wa Chongolo, leo ni siku ya tatu timu maalumu ya uchunguzi ipo huko ikichunguza zaidi kuhusu kilichojili ili vikao vifanye uamuzi.
Chongolo ametaja sababu kuu ni vitendo vya rushwa ambavyo vimetajwa katika maeneo hayo na kuwa chama hakitavulimia vitendo hivyo pale inapobainika.
"Mbali na hilo, tunachunguza kuhusu uchaguzi wa CCM mkoa wa Mjini Magharibi katika tuhuma za kada mmoja kubeba boksi la kura kwenda nalo chumba cha kuhesabia kura ikibainika tutatoa maelekezo ama ya kufuta matokeo au kuruhusu aliyetangazwa aendelee," amesema Chongolo.
Kiongozi huyo ambaye ni mkurugenzi wa uchaguzi ndani ya chama amesema hawako tayari kuona viongozi wanaingia madarakani kwa rushwa na vitendo viovu.
Kuhusu adhabu zitakazotolewa alisema ni kuondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi na kupelekwa katika vyombo husika.
Chanzo: Mwananchi
View attachment 2422978
Wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kura za ccm ziliibiwa na zoezi zima limeacha wilaya hiyo kwenye kilio kikubwa. Uchaguzi huo ufutwe tuAfute nchi nzima kwani kote wamepata uongozi kwa rushwa,haya maeneo waliyokuwa uchaguzi jua kuwa wamepita watu wasiowataka