mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELLWampigie Kimei kampeni ya nini?Nani amekuambia kuwa CCM huwa inahitaji kura ya kiumbe chochote ili kuchukua dola?!
OK basi wampe GraceHapana hapo yupo Grace Kiwelu! Owenya yupo Moshi vijijini!
HII ITAWEZEKANA IWAPO TU, WANANCHI WATAJUA HAKI NA WAJIBU WAO WAKAAMUA KUCHUKUA HATUA ZA KUDAI NA KUKATAA UDHALIMU.So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELL
Wampigie Kimei kampeni ya nini?Nani amekuambia kuwa CCM huwa inahitaji kura ya kiumbe chochote ili kuchukua dola?!
Ndani ya CCM, umaarufu ni wa chama na sio mtu, mtu mmoja hawezi kukokosesha chama ushindi. Dr. Kimei ni giant kuliko huyo dogo, ushindi wa CCM Vunjo ni ushindi wa uhakika bila mawaa yoyote.Mgombea wa ubunge kwa tiket ya CCM, Charles Kimei ana wakati mgumu kushinda jimbo hilo baada ya CCM kugawanyika, Inock Koola Zadock, mtoto wa Tajiri wa Kimarangu Mzee Koola (Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura za maoni amegoma kuungana na kumpigia kampeni Charles Kimei na ameondoka zake kwenda Dar es Salaam bila hata kushiriki mkutano wowote wa Kimei.
Tumeona kwenye majimbo mengine walioshindwa kuonesha umoja ndani ya chama kwa kuungana na mshindi kumsindikiza kuchukua fomu na kumpigia kampeni kwenye mikutano ya Mbunge huyo lakini imekuwa tofauti Vunjo. Wale wana CCM waliokuwa wanamuunga mkono Koola wamegoma kumpigia kampeni Kimei.
So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELL
JPM atawashuluhisha akishafika hukoMgombea wa ubunge kwa tiket ya CCM, Charles Kimei ana wakati mgumu kushinda jimbo hilo baada ya CCM kugawanyika, Inock Koola Zadock, mtoto wa Tajiri wa Kimarangu Mzee Koola (Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura za maoni amegoma kuungana na kumpigia kampeni Charles Kimei na ameondoka zake kwenda Dar es Salaam bila hata kushiriki mkutano wowote wa Kimei.
Tumeona kwenye majimbo mengine walioshindwa kuonesha umoja ndani ya chama kwa kuungana na mshindi kumsindikiza kuchukua fomu na kumpigia kampeni kwenye mikutano ya Mbunge huyo lakini imekuwa tofauti Vunjo. Wale wana CCM waliokuwa wanamuunga mkono Koola wamegoma kumpigia kampeni Kimei.
Kisa ni wa CCM?Kura za Koola zinahamia kwa Owenya, imeisha hiyo.
Huyo mzee amezila za CRDB, apumzike sasa.
Kimei alikua analipwa pesa nyingi sana CRDB sasa anataka ubunge wa kubebwa basi aendelee hivyo hivyo kwa sababu tume nayo itambeba na kwa sababu Mbatia ni CCM pia atakubali mbeleko iegemee kwa Kimei. Ila akubali tu kuwa mbeleko itakutana na nguvu ya umma na Mungu wa Haki atawavurumishia mbali madhalimu wote..Mgombea wa ubunge kwa tiket ya CCM, Charles Kimei ana wakati mgumu kushinda jimbo hilo baada ya CCM kugawanyika, Inock Koola Zadock, mtoto wa Tajiri wa Kimarangu Mzee Koola (Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura za maoni amegoma kuungana na kumpigia kampeni Charles Kimei na ameondoka zake kwenda Dar es Salaam bila hata kushiriki mkutano wowote wa Kimei.
Tumeona kwenye majimbo mengine walioshindwa kuonesha umoja ndani ya chama kwa kuungana na mshindi kumsindikiza kuchukua fomu na kumpigia kampeni kwenye mikutano ya Mbunge huyo lakini imekuwa tofauti Vunjo. Wale wana CCM waliokuwa wanamuunga mkono Koola wamegoma kumpigia kampeni Kimei.
Ndio wale tuliowapa uwaziri miaka 20 tukawapa wengine mpaka ukuu wa nchi miaka mitano lakini bado wanataka mbeleko yamajitu hayashibi, uroho tu
Unaona eh! Jitu limekwapua kwenye mabarabara for 20 yrs, lkn bado tamaa tu. Mtu amekuwa CRDB, amejisheheneza alivyoweza, leo eti anagombea ubunge. Lifilie kwa mbali jukwaani, hayana huruma na wenzao.... waachie wengine nao waambulie hicho kidogoNdio wale tuliowapa uwaziri miaka 20 tukawapa wengine mpaka ukuu wa nchi miaka mitano lakini bado wanataka mbeleko ya
Mabomu na risasi ili watawale milele.
Wamejijenga vilivyo lakini bado tu wengine wamekimbilia kupata madaraka kule Zanzibar