Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika Vunjo

Uchaguzi 2020 CCM yagawanyika Vunjo

Wampigie Kimei kampeni ya nini?Nani amekuambia kuwa CCM huwa inahitaji kura ya kiumbe chochote ili kuchukua dola?!
So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELL
 
Mwache Enock akachimbue dhahabu Dar hakuna haja ya kusapoti chama chakavu.
 
So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELL
HII ITAWEZEKANA IWAPO TU, WANANCHI WATAJUA HAKI NA WAJIBU WAO WAKAAMUA KUCHUKUA HATUA ZA KUDAI NA KUKATAA UDHALIMU.
 
Chama kina majeraha mengi mno..!! huwezi kuongoza chama ki undava undava!!
 
Wampigie Kimei kampeni ya nini?Nani amekuambia kuwa CCM huwa inahitaji kura ya kiumbe chochote ili kuchukua dola?!

Heri wewe uliyeongea Ukweli wenu!
Tunajua mnabebwa na NECCM(Tumeccm) kwa Goli la Mkono. Lakini mjue tu safari hii sijui kama goli la mkono litafungwa✌️✌️
 
Mgombea wa ubunge kwa tiket ya CCM, Charles Kimei ana wakati mgumu kushinda jimbo hilo baada ya CCM kugawanyika, Inock Koola Zadock, mtoto wa Tajiri wa Kimarangu Mzee Koola (Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura za maoni amegoma kuungana na kumpigia kampeni Charles Kimei na ameondoka zake kwenda Dar es Salaam bila hata kushiriki mkutano wowote wa Kimei.

Tumeona kwenye majimbo mengine walioshindwa kuonesha umoja ndani ya chama kwa kuungana na mshindi kumsindikiza kuchukua fomu na kumpigia kampeni kwenye mikutano ya Mbunge huyo lakini imekuwa tofauti Vunjo. Wale wana CCM waliokuwa wanamuunga mkono Koola wamegoma kumpigia kampeni Kimei.
Ndani ya CCM, umaarufu ni wa chama na sio mtu, mtu mmoja hawezi kukokosesha chama ushindi. Dr. Kimei ni giant kuliko huyo dogo, ushindi wa CCM Vunjo ni ushindi wa uhakika bila mawaa yoyote.
P
 
So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELL

dola inatoka pale watu wengi kwa ujumla wanapokua wamechoka mfumo, mfano 2015 watu walikua wamechoka ccm kwahio watu waliangalia cdm kama wenye nafuu, ofwhich mlishindwa kutetea kiti chenu, saaahv ccm sio ile ya rushwa tena, magufuli has 1M less than 50k followers on twitter, lissu has 100K, watakaoangushwa ni nyie sasa!

kuna watu ni die hard fans wa magufuli na kuna nyie 100K wa lissu, you have a long way to go!
 
Mgombea wa ubunge kwa tiket ya CCM, Charles Kimei ana wakati mgumu kushinda jimbo hilo baada ya CCM kugawanyika, Inock Koola Zadock, mtoto wa Tajiri wa Kimarangu Mzee Koola (Mmiliki wa makampuni ya Zadock A1outdoor Africa), ambaye alishinda kura za maoni amegoma kuungana na kumpigia kampeni Charles Kimei na ameondoka zake kwenda Dar es Salaam bila hata kushiriki mkutano wowote wa Kimei.

Tumeona kwenye majimbo mengine walioshindwa kuonesha umoja ndani ya chama kwa kuungana na mshindi kumsindikiza kuchukua fomu na kumpigia kampeni kwenye mikutano ya Mbunge huyo lakini imekuwa tofauti Vunjo. Wale wana CCM waliokuwa wanamuunga mkono Koola wamegoma kumpigia kampeni Kimei.
JPM atawashuluhisha akishafika huko
 
Kimei alikua analipwa pesa nyingi sana CRDB sasa anataka ubunge wa kubebwa basi aendelee hivyo hivyo kwa sababu tume nayo itambeba na kwa sababu Mbatia ni CCM pia atakubali mbeleko iegemee kwa Kimei. Ila akubali tu kuwa mbeleko itakutana na nguvu ya umma na Mungu wa Haki atawavurumishia mbali madhalimu wote..
 
majitu hayashibi, uroho tu
Ndio wale tuliowapa uwaziri miaka 20 tukawapa wengine mpaka ukuu wa nchi miaka mitano lakini bado wanataka mbeleko ya
Mabomu na risasi ili watawale milele.
Wamejijenga vilivyo lakini bado tu wengine wamekimbilia kupata madaraka kule Zanzibar
 
Unaona eh! Jitu limekwapua kwenye mabarabara for 20 yrs, lkn bado tamaa tu. Mtu amekuwa CRDB, amejisheheneza alivyoweza, leo eti anagombea ubunge. Lifilie kwa mbali jukwaani, hayana huruma na wenzao.... waachie wengine nao waambulie hicho kidogo
 
Back
Top Bottom