mtamamtete
JF-Expert Member
- Jul 28, 2020
- 402
- 345
So kwanini mnahangaika na uchaguzi wakati hamuhitaji kura ya kiumbe chochote? Hata iweje mtatoka tu madarakani. Kumbuka dola hizi chache ambazo zilikuwa na nguvu kuliko nyie wapumbavu. Babelon, Roma, Egypt ya farao Rhames, Timbuktu, Sofala, SA ya Botha, Nazis ya Adolf Hitler. Dola hizi zilikuwa na mawazo ya u milele kuliko mnavyojinasibu nyie vilaza. MTATOKA TU, TIME 'LL TELLWampigie Kimei kampeni ya nini?Nani amekuambia kuwa CCM huwa inahitaji kura ya kiumbe chochote ili kuchukua dola?!