Zanzibar 2020 CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

Zanzibar 2020 CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

Hivi yule mgombea wa ACT aliyepigwa na kuvunjwa mguu sijui hali yake ikoje.
 
Hongereni KITENGO, POLISI na NEC.

Kazi ya kubalance imempitisha huyo imetimia lkn kumbukeni kuweka hakiba.
 
ACT Wazalendo hawajui kwa Zanzibar kwamba Maalim Seif alishaondoka na ACT Wazalendo yake!
 
Mtoa mada hii jibia swali hapo juu,weka hapo majumuisho ya matokeo haya fake,na nafsi yako inakusuta maana unaona kabisa ni matokeo fake?
 
Back
Top Bottom