Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Waziri mkuu amenukuliwa na vyombo vya habari akifanya jambo hilo mkoani Dodoma .

20181022_133158.jpg

Kama kipyenga kimekwisha pulizwa basi ni vema Tume ya uchaguzi ikatangaza hadharani ili wale wengine wanaotarajia kupeperusha bendera za vyama vyao nao waingie majukwaani .
 
PM muungwana sana,hilo ni tukio nadra kwake. Rais yupo busy na kampeni za wazi kila uchao Katika ziara rasmi kwa kauli,matendo na hadhira mavazi. Inakera sana na kuchefua Watu wa protocol wamsaidie elimu yeye sasa ni Baba,Rais wa wote.
 
" Njooni kwangu mliolemewa na mizigo nami nitawapumzisha " Hii ni kauli ya kukufuru Mungu aliyoitoa kwenye vikao vya ccm
 
Waziri mkuu amenukuliwa na vyombo vya habari akifanya jambo hilo mkoani Dodoma .

View attachment 907055

Kama kipyenga kimekwisha pulizwa basi ni vema Tume ya uchaguzi ikatangaza hadharani ili wale wengine wanaotarajia kupeperusha bendera za vyama vyao nao waingie majukwaani .
Chadema ndio watakua na mchecheto kwakua walisema hawana mpango wa kushiriki uchaguzi kwasasa.
 
Back
Top Bottom