Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
haya kulikoni mnaanza kampeni za uchaguzi 2018???Tena itakufa kifo cha mende
Mnaogopa nini???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya kulikoni mnaanza kampeni za uchaguzi 2018???Tena itakufa kifo cha mende
Nakukumbusha tena , Muulize wassiraSamahani sana kwa kusema chadema inakufa kwa kuwa nilimaanisha CHADEMA IMESHA KUFA, KWISHNEY, KALUS,GONE, FINISHED WALAHI
Psychopath walahi
Labda, ila sidhani!Uchaguzi ujao Polisi wakiuingilia biila ya sababu na kuanza kuua watu cha moto watakiona sio kila Polisi anafurahia anayoyaona.
Kama chadema inakufa kwanin maccm yanajihami??Tena itakufa kifo cha mende
Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!2020 JPM hata asipopiga kampeni, ushindi ni dhahiri tena kuanzia 90% and above.
Hivi wale waliosema umaarufu wake umepungua walimsingizia?Imagine hakushinda kwa asilimia sitini na tumeshaambiwa umaarufu umepungua.Kwa sasa si atakuwa na asilimia ishirini hivi!?Nikuhakikishie tu kwamba goma likiwekwa kati na kukawa na fair play jamaa yako atapata tabu muno2020 JPM hata asipopiga kampeni, ushindi ni dhahiri tena kuanzia 90% and above.
Kanywe bwana tulebe mbali elamugobyaWazanisha enjae..!
Na bado haeleweki, je angekuwa hafanyi hivyo hali ingekuweje?PM muungwana sana,hilo ni tukio nadra kwake. Rais yupo busy na kampeni za wazi kila uchao Katika ziara rasmi kwa kauli,matendo na hadhira mavazi. Inakera sana na kuchefua Watu wa protocol wamsaidie elimu yeye sasa ni Baba,Rais wa wote.
Kama alivyo Jiwe kwenye kiingereza?Chadema ni waoga sana.
Wakijibiwa watasema umemdharau waziri mkuu, waziri mkuu ni mtendaji wa serikali na anapofanya siasa ni mwanaccm, wanatumia pesa za serikali kufanya kampeni za kisiasa, wanasheria na wanaharakati mko wapi?Waziri mkuu amenukuliwa na vyombo vya habari akifanya jambo hilo mkoani Dodoma .
View attachment 907055
Kama kipyenga kimekwisha pulizwa basi ni vema Tume ya uchaguzi ikatangaza hadharani ili wale wengine wanaotarajia kupeperusha bendera za vyama vyao nao waingie majukwaani .
Sio tu imekufi,.. sema imekufilia mbali kuleeNawashangaa sana wale wanosema Chadema inakufa.
Hayo mdio yaliyo baki. Majaliwa anaelewa wazi hawakupewa ridhaa na wananchi bali NEC na wale jamaa wa idumu milele ndio waliiweka madarakaniWaziri mkuu amenukuliwa na vyombo vya habari akifanya jambo hilo mkoani Dodoma .
View attachment 907055
Kama kipyenga kimekwisha pulizwa basi ni vema Tume ya uchaguzi ikatangaza hadharani ili wale wengine wanaotarajia kupeperusha bendera za vyama vyao nao waingie majukwaani .
Maccm wanakopa pesa kwa matajiri ili kuiendesha NEC ccm haijafa sio??Sio tu imekufi,.. sema imekufilia mbali kulee
Nasema hivi kwanza tunataka waangalizi wa kimataifa huru UN na nchi zenye kufuata Demokrasia kusiwepo na askari waliobeba silaha katika uhesabuji wa kura.Labda, ila sidhani!