Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Tegemeo pekee la ccm kushinda ni kuwategemea ndugu zao wavaa kaki
 
Upinzani na moyo wa matumaini
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Kwani katiba yao inaruhusu kufanya mchakato wa kuchaguana nani wa kugombea, ijulikanavo huwa aliyepo apingwi
halafu mbona kama tayari ana uhakika 2020 ccm watampitisha kuwa mgombea!!!!!
nasikia jasusi membe anamkimbiza kimya kimya ndani ya chama hadi anapiga kelele mwenyewe
 
Mwaka 2019 ywe ni mwaka wa kuuanika uongo ulaghai uhalifu uvunjaji wa katiba na mabaya yote tunayafahamu vyema.
Halafu kijiji kwa kijiji mbinu za mikwara yao tumeshaizoea watanzanzani wajue yote kwa nini wafichwe.
 
Why! Why! Tundu Lissu alitaka kuuwawa?! Watanzania walikuwa wanataka kufichwa nini??!si watanzania haohao ndiio walikupigia kura sasa kwanini uwafiche tumechoka!!!.....tuirudishe Tanzania tuijiuao sio hiii ya alenselema alejaa!
 
Kwani katiba yao inaruhusu kufanya mchakato wa kuchaguana nani wa kugombea, ijulikanavo huwa aliyepo apingwi
haisemi hivyo ila wao wanasema kiungwana huwa watu wanashauriwa kutokumpinga kwa kuchuana naye
ni best practice tu
 
Angetakiwa awaombe Tume ya uchaguzi wasimwangushe mana ndio wanaowapaga ushindi.
Ni kweli ushindi unaotangazwa ni maamuzi ya Tume ya Uchaguzi. Lakini akitangazwa na huku anajua ukweli kuwa alipata kura za kweli za kutosha inamwongezea moyo wa kujiamini na hivyo kuachana na ubabe na kujitutumua. Akitangazwa na huku akijua kabisa kura za kweli hazikutosha, makeke yanakuwa mengi ya kutaka kumdhihirishia kila mmoja kuwa 'mimi ndiyo rais'.
 
Wote mliohamia CCM munaoagiwa zengwe uchaguzi ujao hamoboi ng'o! Zengwe limeshaanza kusukwa mtayakumbuka haya maneno.
 
nyabhingi bro tuko pamoja nakukubali wewe ni mpambanaji mstaarabu tuko pamoja.
Mc Hammer wangu let's pray
 
Utakufa wewe
CCM haifi kifo cha ghafla kama mende ila inakufa huku imevaa suti tuko ndani tunayaona mtashangaa Ambulance inaitwa CCM inapakiwa "huku bado inasema ndugu wananchi sifi mimi"ikifika mochuari wale atendants watatuambia CCM imeletwa tu hapa ili ipunguze Stress za Stiegler's gorge...na uongo utaendeelea na kuendelea na kuendelea...hatimae tunashika dola na kuuunda serikali ya watu.
 
Ninachosema ni hivi CHADEMA/CUF HALALI Nyinyi ndio wazalendo asilia nyinyi mumekuwa mbadala god bless you all
 
Back
Top Bottom