Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Tetesi: CCM yaingiwa na mchecheto, Majaliwa aanza Kampeni kabla ya muda

Ha ha ha natafuta style ya kucheka nieleweke siipati. Hivi kuna wa kuitia mchecheto ccm come 2020?Tuwe wakweli, TUSIJAZANE
 
Nawashangaa sana wale Misukule wa Lumumba wanosema Chadema inakufa.
Samahani sana kwa kusema chadema inakufa kwa kuwa nilimaanisha CHADEMA IMESHA KUFA, KWISHNEY, KALUS,GONE, FINISHED WALAHI
Psychopath walahi
 
ukweli ni kwamba baada ya Magufuli kuuwa ccm tegemeo kubwa limebaki kwa polisi ambao nao wanapigwa sana vita na jumuiya ya kimataifa , inayosisitiza demokrasia
Unazungumza Magufuli kuuwa CCM kana kwamba wabunge na madiwani wanaoma kila kukikucha wanatoka CCM.
 
Wanajua mtu wao ameumiza wengi sana, matendo yake wengi yamewaachia maumivu makali sana, maamuzi hayo yamejaa upendeleo, yamejaa visasi, sasa mtu kama huyo utegemee wananchi wapange foleni wampigie kura 2020.????
"Ndo ivo nawathindaga" by Ruhangisa
 
Ulipoambiwa utapigiwa shangazi yako bado unakenua tu Kassimu panga mkakati wa kukitosa Chama Cha Mapinduzi la sivyo utakuwa Laughing Stock ya chama hicho
 
Waziri mkuu amenukuliwa na vyombo vya habari akifanya jambo hilo mkoani Dodoma .

View attachment 907055

Kama kipyenga kimekwisha pulizwa basi ni vema Tume ya uchaguzi ikatangaza hadharani ili wale wengine wanaotarajia kupeperusha bendera za vyama vyao nao waingie majukwaani .
'Mwisho wa safari moja ndiyo mwanzo wa safari nyingine'
Wazaramo wanazema 'karaga baho'
 
Ha ha ha natafuta style ya kucheka nieleweke siipati. Hivi kuna wa kuitia mchecheto ccm come 2020?Tuwe wakweli, TUSIJAZANE
ikiwa ni hivyo mchecheto unatokana na nini ?
 
Back
Top Bottom