Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
CCM inawaongoza Watanzania kama Wanyama, wanaamini wananchi hawana akili kabisa, ngoja tuone kama wananchi wenyewe watakubali kupuuzwa kwa kiwango hikiNimeshakutana na magari zaid ya kumi nikajiuliza hivi ikitokea shida tunaanzia wap
Imagine gari lenye namba hizo likisababisha ajali na kukimbia litatambuliwa vipi.Nimeshakutana na magari zaid ya kumi nikajiuliza hivi ikitokea shida tunaanzia wap
In a kakistocratic society lawlessness is the order of the dayImagine gari lenye namba hizo likisababisha ajali na kukimbia litatambuliwa vipi.
Au wahalifu wakiamua kumbandika namba hizo na kwenda kufanya uhalifu litatanbulika vipi.
Polisi wamekaa kinya kuuona huu uhalifu wakati wana kauli yao ya til sheria bila shuruti
ibilisi wa ccm walikwisha wadharau watanzania sana wanajua hawana cha kuwafanya sasa IGP na Traffic wake yaani Polisiccm wanaimba nyimbo moja ya ibilisi wa ccm magari yanatembea hayana namba mengine Tinted hadi vioo vya mbele utazani Nchi haina Serikali , South Africa ulaya America ni marufuku kwa Gari kuweka tinted kioo cha mbele lakini Tanzania ni ruksa kuweka hata kwenye side mirror Nchi imeingiliwa mkoloni toka Zanzibar anahangaika kuididimiza chadema huku mambo ya hovyo yakiongezeka mitaaniCCM inawaongoza Watanzania kama Wanyama, wanaamini wananchi hawana akili kabisa, ngoja tuone kama wananchi wenyewe watakubali kupuuzwa kwa kiwango hiki
Wengine wanabebea sembe na bangi na mirungiNimeona kwa macho yangu, mnakanusha nini? Kama ni ya watekaji tutajua haraka sana
Yah ni kweli,magari mengi yenye namba hizo SSH 000 ni za kunjunga tuMagari mengi yanatembea yakiwa hayajalipiwa kodi hususani yenye namba za South Africa ambayo huingia Tanzania kama yanakuja kutembea na kurejea South Africa na mengine sasa wanaweka namba SSH ili kukwepa kukamatwa na TRA, Nchi inapata hasara kwa ukwepaji kodi mkubwa unaoendelea kwenye show room zinazoota kama uyoga kwa njia haramu za utakatishaji fedha
Sababu yako ni MUFILISI.Magari mengi yanatembea yakiwa hayajalipiwa kodi hususani yenye namba za South Africa ambayo huingia Tanzania kama yanakuja kutembea na kurejea South Africa na mengine sasa wanaweka namba SSH ili kukwepa kukamatwa na TRA, Nchi inapata hasara kwa ukwepaji kodi mkubwa unaoendelea kwenye show room zinazoota kama uyoga kwa njia haramu za utakatishaji fedha
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimekana kuhusika na matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, alisema chama hicho hakina mamlaka ya kutengeneza vibao vya namba za magari kwani kuna taasisi husika zinazoshughulika na jukumu hilo.
Aidha, Ramsey alibainisha kuwa CCM haijatoa kibali kwa mwanachama wake au kwa mwananchi yeyote kutengeneza au kutumia namba hizo, na akasisitiza kuwa yeyote atakayebainika kufanya hivyo atakua anakiuka sheria za nchi
Tatizo lipo police, kwa nini traffic police hawayakamati, kubandua na kutoza fain.Imagine gari lenye namba hizo likisababisha ajali na kukimbia litatambuliwa vipi.
Au wahalifu wakiamua kumbandika namba hizo na kwenda kufanya uhalifu litatanbulika vipi.
Polisi wamekaa kinya kuuona huu uhalifu wakati wana kauli yao ya til sheria bila shuruti