GE2025 CCM yakanusha matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530

GE2025 CCM yakanusha matumizi ya namba feki za magari zenye alama SSH 2530

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata jana hizi gari nimeziona jamani zimejaa ila sjui zinatumiwa na akina nani
 
Nimeona kwa macho yangu, mnakanusha nini? Kama ni ya watekaji tutajua haraka sana
Hukumwelewa Mwenezi wa CCM Arusha. Hizo namba zipo na tunazisoma kila siku. Binafsi hapa Jijini Mwanza naziona kila siku. Lakini alichokisema Mwenezi ni kwamba SIO CCM inayotoa hizo namba, bali mamlaka husika. Kwahiyo, wanaotakiwa kuulizwa ni TRA wanaotoa hizo namba kama "USAJILI MAALUM" na sio CCM.
 
Hivi ukigongwa na SSH 2530 wanakamata gari ipi? Maana zipo nyingi sana.
 
IMG_6857.jpeg
 
Polisi kwa sababu wamegeuka na kuwa CHAWA, wako radhi wawasumbue watu wasio na makosa! Lakini huwezi kuwaona wanawasimamisha hawa watu wenye magari yenye namba feki!!

Jeshi la polisi ni vizuri mkajitafakari. Kiukweli hamtimizi wajibu wenu kwenye kusimamia sheria za barabarani zinazowahusu wanasiasa, makada wa chama na madereva wa magari ya serikali.
 
Ukiona nchi inaenda kwa kuogopa siasa au uchawa na si kanuni, basi imeenda hiyo. Sijui nikujikosha au vipi maana zimeamza muda kitambo na Polisi wa Usalama.barabarani walikiogopa wenye magari badala ya usalama wa wawatumiaji barabara. Ni swali nililokuwa nikijiuliza watakamata gari ipi endapo utagongwa na jamaa akakimbia?
Bora kuchelewa kuliko kufanya lolote.
 
Hukumwelewa Mwenezi wa CCM Arusha. Hizo namba zipo na tunazisoma kila siku. Binafsi hapa Jijini Mwanza naziona kila siku. Lakini alichokisema Mwenezi ni kwamba SIO CCM inayotoa hizo namba, bali mamlaka husika. Kwahiyo, wanaotakiwa kuulizwa ni TRA wanaotoa hizo namba kama "USAJILI MAALUM" na sio CCM.
Kanuni ya Usajili maalum hairuhisu vyombo viwili vya moto kuwa namba Moja ya Usajili na pia kuanzisha series kama MSAVILA 1. Kuna mengi ya kufanya ili kuondoka hii tabia ya untiuchables
 
Kanuni ya Usajili maalum hairuhisu vyombo viwili vya moto kuwa namba Moja ya Usajili na pia kuanzisha series kama MSAVILA 1. Kuna mengi ya kufanya ili kuondoka hii tabia ya untiuchables
Kama ni untouchables mbona wamekamatwa?
 
Back
Top Bottom