Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Kwanza katia CV ya Nchimbi sijaona taarifa ya Seminari, so mtoa mada kasema uongo...Kwani anaenda kuongoza kanisa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza katia CV ya Nchimbi sijaona taarifa ya Seminari, so mtoa mada kasema uongo...Kwani anaenda kuongoza kanisa?
Nilimuacha 1992 akiwa fom 6Mwaka gani mkuu?
Kwa mahesabu ya kuzaliwa mwaka 1971 na kuanza darasa la kwanza miaka 7 au 8, depending on birthday and enrollment age, kitu ambacho ninkawaida kabisa, kuwa form six mwaka 1991 au 1992 ni sawa kabisa.Nilimuacha 1992 akiwa fom 6
Anae shangaa hajawai kuambiwa shika sikio lako la kushoto kwa mkono wako wa kulia.Kwa mahesabu ya kuzaliwa mwaka 1971 na kuanza darasa la kwanza miaka 7 au 8, depending on birthday and enrollment age, kitu ambacho ninkawaida kabisa, kuwa form six mwaka 1991 au 1992 ni sawa kabisa.
Sielewi kwa nini watu wanashangaa sana Emmanuel Nchimbi kuzaliwa 1971.
Hawa ni watu wanaomsoma Nchimbi magazetini.Anae shangaa hajawai kuambiwa shika sikio lako la kushoto kwa mkono wako wa kulia.
Mkuu Kira, Kiranga , kwanza sipendagi kujitaja ni mtoto wa Osterbay kwasababu itaonekana kama ni tuna tamba.Pascal Mayalla Njoo utuhakikie hapa we mtoto wa Oysterbay Primary.
Eti Emmanuel Nchimbi ukiambiwa kazaliwa 1971 utashangaa?
Oysterbay hujasoma naye miaka ile huyu?
Sijasema mtoto wa Oysterbay nimesema wa Oysterbay Primary.Mkuu Kira, Kiranga , kwanza sipendagi kujitaja ni mtoto wa Osterbay kwasababu itaonekana kama ni tuna tamba.
Nchimbi kazaliwa 1971, mimi namaliza darasa la 7, yeye yuko la 4!.
Huyu Dr. Mwinyi alinitangulia madarasa 2.
Darasa langu primary Tumesoma darasa moja na Mtoto wa
Sekondari Tambaza
- Malecela
- Kawawa
- Malima
- Mtei
- Chiduo
- Warioba
- Sebabili
- Katikaza
- Lupembe
- Kezilahabi
- Musiba
- CDF Twalipo
- CJ Agustino Saudi
- CJ Francis Nyalali
- IGP Samweli Pundugu
- Kamishna Magereza Mwanguku
- Kamisha magereza Malisa
- David Wakati
- Matiss wote wa pale
- Sarungi
- Sepetu
- Linjewile
- Tungaraza
- Kwa kifupi cabinet yote
Darasa moja na mtoto wa Mkapa, Nyerere, Mwinyi, Malecela,
Ilboru class moja na Mtoto wa Warioba
Lissu, Mwigulu, Nyalandu ni madogo
Tena sijui ni wangapi humu wana kumbukumbu na nursey school
Mimi nimesoma vidudu St. Peters Kindegarten Tanga
Nawakumbuka baadhi ya watu niliosoma nao
Tuliigiza tanthilia ya Cinderela, mimi ndie nilikuwa Prince, yule Jane Mutayoba ndie alikuwa Cinderella, nilianza kumzimikia kweli!.
- David Naburi
- Peter Naburi
- Ceaser Simbeye
- Oden Simbeye
- Alex Shaba
- Allen Semu
- Magret Semu
- Robert Kilala
- Jane Kilala
- Cecy Minja
- Jane Mutayoba
UDSM nilikuwa na R1.
Wengi wananuona Nchimbi kama VP, mimj nawaambia Nchimbi ndio rais ajae, kwasababu HII issue inakwenda kutokea!.
P
TawiTanzu ni nn?
Hata kwa Mpango inaonekana sub ya kibabe na vile haendani na philosophy ya utekaji na upotezaji watuKwa utamaduni wa CCM kufanyiwa sub sio hiari ya mtu, unaweza kulazimishwa uombe sub mwenyewe.
Mwulize Ndugai aliomba sub japo alipenda sana kuendelea.
Kabisa kabisa, madaraka matamu wewe! Mtu huwezi kuomba sub wakati unajua kabisa wakati wowote ule nakuwa rais.Hata kwa Mpango inaonekana sub ya kibabe na vile haendani na philosophy ya utekaji na upotezaji watu