Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
Kama habari inayosemwa niya kweli, basi CCM imewapa wajumbe wa upande wa pili ndani ya Bunge la Katiba kile walichokuwa wanakipigia kelele sana kwa maana nyingine, imewapa kisu ili wajichinje wenyewe.
Kama kuna mtu anadhani Mh. Sitta atafanya mambo kinyume cha matakwa ya CCM basi huyo lazima akajifunze historia ya wanasiasa ndani ya CCM hasa ikichukuliwa kuwa, hili swala nila chama na siyo makundi ndani ya chama. Linapokuja swala la maslahi ya CCM, sioni Mh. Sitta akienda kinyume na matakwa ya chama chake.
Ninapoangalia mchakato huu, ninaiona CCM ikiwa imejiandaa na huku upande wa pili wakiwa na fikra za namna ya kuzima moto na siyo kuzuia moto usitokee. Upande wa pili unang'ang'ana na hoja ya kusema wafanye kazi kulingana na "matakwa" ya "wananchi" lakini wanashindwa kuelewa kuwa, hata CCM nayo ni wananchi na kwa maana nyingine, CCM inafanya kazi kwa matakwa ya "wananchi"
Kwanza jaribu kuangalia ile timu ya watu 20 ambayo kwa sasa inafanya mapitio na kurekebisha rasimu ya kanuni za uendeshaji wa bunge la katiba na hiyo itakusaidia kupata taswira ya CCM katika zoezi la katiba.
CCM ndiyo iliyotoa idhini ya kuandikwa kwa katiba nani CCM hiyo hiyo inayoongoza njia katika mchakato wa katiba na pia ni CCM hiyo hiyo itakayotoa hitimisho katika mchakato wa katiba.
Kama ukitaka kunielewa zaidi, rejea kauli ya jana ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambayo iliwafanya wajumbe karibia wote kusikiliza na kukubali anachokisema baada ya wajumbe kurumbana sana wakati kisheria, Waziri mkuu kwenye bunge la Katiba kwa sasa ni mjumbe tu kama wajumbe wengine.
Hii kauli hapa chini iliwafanya wajumbe kukaa kimya na kufanya alichowaeleza,

Jina la Mh. Chenge liliwafanya wajumbe wengi wa upande wa pili katika bunge la katiba kudhani kuwa CCM iko katika makundi hata katika kuzisimamia sera zake kitu ambacho kimeonyesha ni tofauti ndani ya vikao vyao kama ilivyotokea katika kupata mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge la Katiba.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda jana alifanikiwa kutuliza hali ya hewa bungeni baada ya kutoa mapendekezo yaliyoungwa mkono na pande zote zilizokuwa zinavutana kuhusu kupitisha baadhi ya vifungu vya Kanuni za Bunge la Katiba.
Katika mapendekezo yake yaliyoungwa mkono na Naibu Katibu Mkuu wa CCM -Zanzibar, Vuai Ali Vuai, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Pinda alisema: "Nataka kuwaomba wenzangu wote kwenye maeneo hayo (yenye malumbano) tukiwa tunayapitia kama hatutaelewana tuyaache kwa muda na kumwomba Mwenyekiti aunde timu ya watu wazima na wenye busara wajaribu kuyatazama. "Tujadiliane, tushindane kwa lugha za staha, tusitumie lugha inayoweza kukasirisha. Isiwe mimi nimesema, mimi nimesema..."
Waziri Mkuu, aliwataka wajumbe wajiepushe na lugha za kuudhi ambazo zinaweza kukwamisha upatikanaji wa Katiba Mpya.
Pinda alilazimika kuingilia kati baada ya kutokea mgawanyiko mkubwa wa namna ya kupiga kura kupitisha vifungu vya rasimu.
Akiunga mkono ushauri huo, Mbowe alisema Bunge limejaa hisia za hofu ndani na nje, jambo ambalo linatia wasiwasi wa kupatikana kwa Katiba Mpya. Alisema iwapo wajumbe watashirikiana na kuweka kando masilahi ya vyama, idadi yao katika makundi, Katiba inaweza kupatikana.
Vuai alionya kuhusu matumizi ya lugha za kuudhi huku Profesa Lipumba akiwataka wajumbe kuzingatia masilahi ya Taifa kama alivyoagiza Rais Jakaya Kikwete na kutengeneza Katiba ya Watanzania wote bila ya kujali masilahi binafsi.
Mwelekeo mpya bungeni, Pinda atoa hoja kutuliza hali ya hewa - Kitaifa - mwananchi.co.tz
Reports within the CCM Steering Committee which held a meeting yesterday revealed that Mr Sitta was nominated because of his extensive experience of five years in the area as the National Assembly Speaker.
The source noted that the steering committee asked Mr Andrew Change who was also vying for the same position to give way to Mr Sitta who is also the Minister for East Africa because of his long experience in presiding over the national assembly proceedings.
The Steering Committee appealed to Mr Chenge who has also held various government positions in the past, to let Mr Sitta pick the forms for the chairmanship position alone.
The source who said the Steering Committee held the meeting on Monday did not see the need for both of the members of the CA from the party to fill the forms.
According to the reports Mr Chenge agreed to the Steering Committee's request, opening the way for Mr Sitta to pick the forms once the Constituent Assembly Standing Orders are adopted by the special assembly.
Meanwhile as the Constituent Assembly meet to amend and adopt the Standing Orders, and the members squabbling over a number of issues including the voting system, CCM on Sunday held a meeting to insist the its members agree on the open voting system.
http://www.dailynews.co.tz/index.php/local-news/28803-sitta-to-contest-constituent-assembly-chair