CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

CCM Yamchagua Sitta kuwa mgombea pekee

Duh! ndg yangu cjui km umeelewa nilichoandika! Yaani unataka MUNGU atuletee KATIBA? ctumepewa Akili yakujua MEMA na MABAYA? ss kwenye mambo ya Katiba MUNGU anahuckaje? mbona ako na mambo mengi yamaana yakufanya kuliko huu Upuuzi tunaoufanya wakulibomoa TAIFA letu!

mkuu swala la kujua mema na mabaya kwa akili zetu pekee haitoshi bila kumshirikisha Mungu. na hili litasaidia sana kupata katiba yenye manufaa kwa wananchi.
 
ccm mlimueka kusud ndio mkamwambia acgombee wa muda cc tunawajua
 
Mimi binafsi nafikiri kambi ndani ya Maccm ina afadhari sana kuliko ile ya vijisent.

Sittanamkubali
 
Back
Top Bottom