annabrenda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 1,142
- 399
Duh! ndg yangu cjui km umeelewa nilichoandika! Yaani unataka MUNGU atuletee KATIBA? ctumepewa Akili yakujua MEMA na MABAYA? ss kwenye mambo ya Katiba MUNGU anahuckaje? mbona ako na mambo mengi yamaana yakufanya kuliko huu Upuuzi tunaoufanya wakulibomoa TAIFA letu!
mkuu swala la kujua mema na mabaya kwa akili zetu pekee haitoshi bila kumshirikisha Mungu. na hili litasaidia sana kupata katiba yenye manufaa kwa wananchi.