CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

CCM Yamshambulia vikali Joseph Warioba

...

@#***..... zenu CCM wote ,kwa nini hamfi!

Mimi nadhani ni wakati muafaka wa Tume ya katiba kujiuzulu kwa sababu Bulembo ni mjumbe wa halmashauri kuu. Na mwenyekiti wa wazazi ccm. Hivo anachokisema ndio msimamamo wa chama kwamba warioba na tume ya katiba wamewaudhi ccm. Kwa nini tume isijuzulu ikawaachia ccm watengeneze katiba yao wanayotaka? Kama kina warioba watakubali kuendelea na kazi huku waki tukamwa
tknwa na ccm huku Kikwete akiwa kimya
 
...

@#***..... zenu CCM wote ,kwa nini hamfi!

Mimi nadhani ni wakati muafaka wa Tume ya katiba kujiuzulu kwa sababu Bulembo ni mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm na mwenyekiti wa wazaezi ccm. Hivo anachokisema ndio msimamamo wa chama na kwamba warioba na tume ya katiba wamewaudhi ccm. Kwa nini tume isijuzulu ikawaachia ccm watengeneze katiba yao wanayotaka? Kama kina warioba watakubali kuendelea na kazi huku wakitukamwa
tukanwa na ccm huku Kikwete akiwa kimya itashangaza sana. Utakufa na presha bure mzee wangu Warioba.
 
huyo jamaa ni std 7 hayo maneno analishwa na mpambe wake mbeba box alie lost le mutuz na ndo anazunguka naye mikoani,ukisoma post za william malecela kuhusu Warioba na maneno ya Bulembo leo ni copy n paste

Hivi huyu jamaa Bulembo si ndio alienguliwa kwenye uchaguzi wa T FF kwa kigezo cha kutokuwa na elimu angalau ya kidato cha nne?
 
Mbona wanahangaika na mzee warioba?? Warioba hana aliloiandikia na kulitangaza, katamgazamaoni ya watanzania na ndio anayasimamia.. Upumbavu wa ,maccm ni kudhani wao ndio wasemaji wa watanzania.

Bulembo+Nape=Mwigulu (a.k.a Savimbi)
 
CCM sasa hivi wameishiwa hawana kitu chochote cha maana ambacho wanaweza wakawaeleza watanzania wakawaelewa.Ccm wanachokifanya ni kujaribu kuwagonganisha wtz na Waryoba ili ionekane kuwa anayo yasema ni yake kama Waryoba na siyo maoni ya wtz.Wakati Waryoba ndiye aliyechukua maoni ya wtz.Anacho kieleza ni kile ambacho kimetoka kwa watanzania wenyewe.Kashifa zote hizi za CCM dhidi ya Waryoba zimekuja baada ya Waryoba kuthamini maoni ya Watz na kuyawakirisha kama yalivyo kitendo ambacho kimewaudhi sana CCM ambao wanataka yale ya chama chao ndiyo yaendelezwe badala ya maoni ya wananchi.Hali hii imejitokeza baada ya CCM kuacha kuwathamini wananchi Kwa mana nyingine adui wa CCM ni yule anaewatetea wananchi.
 
Bulembo ni nuksi, ana mikono ya damu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Lao moja wanaigiza tu kuwapoteza maboya
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.

Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.

Source:ITV

Na yeye huyu Bullemo pia hana haki ya kuwasemea Watanzania,nchi hii ni ya Watanzania sio ya Chama cha mapinduzi.
 
Mtu mwenyewe Standard Seven nani atamsikiliza labda mbumbumbu wenzake wa mtaa wa Lumumba.Si ajabu hawa watu wakafikiri suala la Katiba uzito wake ni sawa na ule wa sheria ndogo ndogo za halmashauri ya manispaa kwasababu ya elimu zao ndogo.Hivi hiyo Jumiya ya Wazazi ya CCM iliishiwa Wagombea mpaka mkamchagua Standard Seven graduate kuwaongoza?Kazi kweli kweli!!
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.

Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.

Source:ITV

Yaani huyu Buu-lembo anatakiwa akamwone psychiatrist haraka uko upstairs kuna problem. Nimemsikiliza, kwanza anasema tunamweshimu sana Warioba halafu baadaye tena anauliza kwani Warioba ni nani? Hamjui Warioba??
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.

Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.

Bulembo ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu CCM amesema Warioba anapaswa kukaa mbali na kuwaamulia Watanzania Katiba aitakayo yeye.

Itakumbukwa Abdalla Bulembo alishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa udiwani 2010 na mgombea wa CHADEMA.

Source:ITV

Mshauri mkuu wa Bulembo ni Lemutuz kijana wa Malecela unategemea nini ?
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.

Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.

Source:ITV

Hizi kerere za CCM zinaashiria kuwa mshare umechoma penyewe.Inaonekana CCM walimuteua Waryoba ili akatekereze matakwa ya CCM na siyo wananchi.
 
Wasitumie nguvu nyingi bila sababu,wanaweza kutamka tu Katiba hakuna na tunaohitaji katiba bora ya watanzania tutashukuru zaidi,maana NIA ya Katiba hawakuwa nayo.
 
Hiki wanacho kifanya CCM hakina tofauti na mtu anaekimbia kivuli chake mwenyewe.Waryoba si walimuweke wenyewe iweje leo wamuone kuwa hafai?.
 
Kikwete Amesema wananchi toeni maoni wanatoa mnamsema Warioba machavi Hamna mana
 
Safi sana bulembo tunataka Ccm ijipambanue uzezeta wa viongozi wake ili umma wa watanzania na mkuu wa nchi awatambue na mwisho wa Siku tukae meza moja kujadili katiba na si kupitisha kwa wingi wao.hata Pinda kachemka Huko kigoma eti wana yo haki ya kuamua fate ya katiba kwa wingi wao

acha kujivua nguo
 
w malechela namfananisha na mwanangu wa miezi 9
 
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.

Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.

Bulembo ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu CCM amesema Warioba anapaswa kukaa mbali na kuwaamulia Watanzania Katiba aitakayo yeye.

Huku akisisitiza kupinga kinachofanywa na Warioba aliwauliza wananchi kwa msisitizo..'Kwani Warioba ni Nani?' ....

Itakumbukwa Abdalla Bulembo alishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa udiwani 2010 na mgombea wa CHADEMA.
Hata mimi nimemsikia na kitambi chake cha vibua.
 
mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ccm abdallah bulembo amemshambulia kwa maneno makali mkiti wa tume ya katiba jaji joseph warioba.

Akihutubia mkutano wa ccm tanga bulembo amesema warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea watanzania kuhusu katiba mpya.

Bulembo ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu ccm amesema warioba anapaswa kukaa mbali na kuwaamulia watanzania katiba aitakayo yeye.

Huku akisisitiza kupinga kinachofanywa na warioba aliwauliza wananchi kwa msisitizo..'kwani warioba ni nani?' ....

Itakumbukwa abdalla bulembo alishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa udiwani 2010 na mgombea wa chadema.

Source:itv

pia inakumbukwa sana mbowe na slaa walishindwa vibaya sana katika uchaguzi wa uraisi tanzania na wagombea wa ccm, na ni tunawaona kila siku wakihutubia na kukosowa wenzao. When they were never given the mandate to lead by tanzanians and yet they have loud mouths and we call that democracy. Ccm public they know the word tolerance unlike cdm.
 
Back
Top Bottom