Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo tatizo ni kudandia Gari njiani usilojua linakoelekea, likifika njia panda lazima uchanganikiwe kama litaelekea usikokwenda.Wasitumie nguvu nyingi bila sababu,wanaweza kutamka tu Katiba hakuna na tunaohitaji katiba bora ya watanzania tutashukuru zaidi,maana NIA ya Katiba hawakuwa nayo.
&$@$&$&$$&@$$&@&$ zenu ww na mabwana zako. Utatumika mpaka uzeeni km tambara bovu
Ila hatowafikia mnavyotumika ninyi kama kale ka mpira laiini ka kinga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Abdallah Bulembo amemshambulia kwa maneno makali Mkiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Warioba.
Akihutubia mkutano wa CCM Tanga Bulembo amesema Warioba hana haki wala mamlaka ya kuwasemea Watanzania kuhusu Katiba mpya.
Bulembo ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu CCM amesema Warioba anapaswa kukaa mbali na kuwaamulia Watanzania Katiba aitakayo yeye.
Huku akisisitiza kupinga kinachofanywa na Warioba aliwauliza wananchi kwa msisitizo..'Kwani Warioba ni Nani?' ....
Itakumbukwa Abdalla Bulembo alishindwa vibaya kwenye uchaguzi wa udiwani 2010 na mgombea wa CHADEMA.
Source:ITV
Hivi huyu jamaa anayeitwa Bulembo amewahi kupimwa akili yake? Ni jambo lipi ambalo Warioba amelisema lisilo na afya kwa mustakabali mwema wa Taifa letu? Hakika ccm imeishiwa viongozi kama jamii ya kina bulembo,nape,mwigulu,wassira,lukuvi nk ndio viongozi tegemeo wa chama hicho.